Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

Msukuma umepigwa Mtani wangu.... Pole sana.
 
mkuu unashaurije? tuanze kuwakagua kwanza nyuma wakoje au?
 
90% ni uongo mkuu.
Sema tuu ukweli kwa miaka hii ya internet ni 98%
 
Mabomuya machozi haya kimbia
 
kuhusuu shidaa nduguu uwiii hakunamwanamke anatakaa shida aijalishi rangi m napambana na mablckbeauty daily ishiwa uone
 
Mtoa mada lazima katoka kupigwa na kitu kizito kichwani na wanawake weupe, pole mkuu
 
Si kweli
 
Mke mwema hutoka Kwa Mungu bila kujalili umbile lake . Omba Mungu akupe kifaa kitacho kufaa na hatokuangusha.. Mimi hakuniangusha na shukrani zimeenda hapo kwenye kiti cha Enzi. Zingatia maombi… usiache…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…