Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Duh umaskini nyoso sana, tafuteni hela vijana muache kutumika na vikongwe.
 
Hakuna mimba za ajabu ajabu zile za ghafla mara baby sizioni siku zangu

Ila sasa huku kwenye mapenzi ya watu wazima kuna mizinga mikubwa ya hatari ingawaje sio mizinga ya kila siku kama ile ya watoto sijui nywele zimefumuka mara gesi imeisha,

Huku unapigiwa simu unaombwa milioni 1 au laki 5 sio mchezo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini uwezo si unao jamani??
Halafu huko kwa watu wazima kwanza hawaombwii. Wao tu wanafunguka wenyewe . Yani ni proactive na sio reactive . Anaangalia wapi tatizo lipo na anatatua fasta
 
Hivi binti kutoka na mwanamume mwenye 50+ anafuata mapenzi au pesa tuseme tu ukweli
Mwanzo huwa vinafata pesa lakini vingine kadri siku zinavyoenda kanazoea na kumuona huyo mzee kama kijana na kanazama penzini kabisa hata sumu kanaweza kunywa hasa huyo mzee wa miaka 50 akiwa anajua na kubandua
 
Back
Top Bottom