Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndoa yako bado changa...tulia tulia kwanza huku nje tuachie kwanza😂 😂
Ehh.. Jamani mie mtu mzima, haya tufanye basi sio mtu mzima, je kama nishaonja penzi la mtu mzima nikaona usemayo ni sahihi..
Pili kwani hapo tuliooa ulitutoa kumbe,
We hapana.🤣🤣🤣🤣
Tumeambiwa eti ni umaskini unatutesa ndo mana tunawapigia debe
Utelezi ni muhimu ila sio lazima, alielewe hilo. Pesa ndio lazimaNdio ila anapenda sana utelezi na analalamika kunyanyapaliwa sababu ya hela
Si ndio mnavyotaka? Vingnevyo shoo mbovu mnaenda kuwatangaza na kuwaita wanaume surualiWe hapana.
Wakitaka tuwapende na wao waache kukamia. Wawe kama wababa
Vijana wanakamia game mpk ukimaliza unatafuta feni ujipepee? Hatuwatakiii
Sasa vijana tunataka kukaa jikoni kusubiri vinavyoanza kuiva iva! 😁Na ndo maana nimeandika wanaojitambua...natambua uwepo wa watu wazima wa ovyo kweli kwelii
Show za kukomoana mpk chumba kinanukia mishikaki hapana 😎Si ndio mnavyotaka? Vingnevyo shoo mbovu mnaenda kuwatangaza na kuwaita wanaume suruali
😂 ndio maana ya kuwa kijana, nguvu zipo zitumike ipasavyo mpaka miguu itetemeShow za kukomoana mpk chumba kinanukia mishikaki hapana 😎
Kweli kinachofuatwa hapo ni helaMapenzi bila hela sio matamu
Tutafute pesa sukari ya waremboMwanzo huwa vinafata pesa lakini vingine kadri siku zinavyoenda kanazoea na kumuona huyo mzee kama kijana na kanazama penzini kabisa hata sumu kanaweza kunywa hasa huyo mzee wa miaka 50 akiwa anajua na kubandua