Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Uzuri ukiwa na hela hata akichepuka heshima iko palepale maana anajua akiachika atakalia kuti kavu.Asante mkuu kwa kuwa mkweli kwa nafsi yako. Halafu tafiti zinaonesha kwamba mapenzi ambayo uchumi uko stable yana amani sana ukilinganisha na yale ya tia maji tia maji.
Wale wa tia maji lazima udharaulike utaanza kulinganishwa na wenye pesa yaani full dharau na heshima less