Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Duh umaskini nyoso sana, tafuteni hela vijana muache kutumika na vikongwe.
 
Hakuna mimba za ajabu ajabu zile za ghafla mara baby sizioni siku zangu

Ila sasa huku kwenye mapenzi ya watu wazima kuna mizinga mikubwa ya hatari ingawaje sio mizinga ya kila siku kama ile ya watoto sijui nywele zimefumuka mara gesi imeisha,

Huku unapigiwa simu unaombwa milioni 1 au laki 5 sio mchezo
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Lakini uwezo si unao jamani??
Halafu huko kwa watu wazima kwanza hawaombwii. Wao tu wanafunguka wenyewe . Yani ni proactive na sio reactive . Anaangalia wapi tatizo lipo na anatatua fasta
 
Hivi binti kutoka na mwanamume mwenye 50+ anafuata mapenzi au pesa tuseme tu ukweli
Mwanzo huwa vinafata pesa lakini vingine kadri siku zinavyoenda kanazoea na kumuona huyo mzee kama kijana na kanazama penzini kabisa hata sumu kanaweza kunywa hasa huyo mzee wa miaka 50 akiwa anajua na kubandua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…