Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Naunga mkono hoja iliyowasilishwa mezani.
Hili halina pingamizi, ukweli mtupu huu.
Watu wazima oyeeee
 
Bora

Yani unamlalia kifuan unakuna kuna tumvi mvi twake kunakoota kwa mbalii
Yaan ni unakuwa kama mtoto kwa baba! Ila kijanja....ukimdekeza na yeye uwwiiii mara umlishe, mara umuogeshe, eti baby siezi oga mwenyewe njoo linakuwa zuzu ilooo useme nini usipewe?
 
Wanajua kujaili Sana
Niliwahi pata MSHANGAZI MMOJA hivi, Nitaileta story yake siku nyingine
 
Wangu kanizidi miaka 25,ila ana drama kuzidi slay Queen anaesoma certificate CBE,Msumbufu,mjanja mjanja, hapa ndio naamini kua Age is just a number, itoshe tu kusema nilie nae ni MTU MZIMA KISHETI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanzo huwa vinafata pesa lakini vingine kadri siku zinavyoenda kanazoea na kumuona huyo mzee kama kijana na kanazama penzini kabisa hata sumu kanaweza kunywa hasa huyo mzee wa miaka 50 akiwa anajua na kubandua

Naona unaniongelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimezama haswa hapa liwalo na liwe [emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…