Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee achana nae huyo, njoo ule mafao mambo yameshaiva huku.Aka nina jizee langu tayari
Apo lazima upagawe.. angalia mwingine huyu..Mzee kapagawa 🤣🤣🤣
Apo lazima upagawe.. angalia mwingine huyu..
Yaan ni unakuwa kama mtoto kwa baba! Ila kijanja....ukimdekeza na yeye uwwiiii mara umlishe, mara umuogeshe, eti baby siezi oga mwenyewe njoo linakuwa zuzu ilooo useme nini usipewe?Bora
Yani unamlalia kifuan unakuna kuna tumvi mvi twake kunakoota kwa mbalii
Mimi mbona tayari ni mtu mzima my love?Nakusubiri uwe mtu mzima mm nitabaki hivhivi😂😂😂
Wanajua kujaili SanaSalamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....
Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii
3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.
4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.
5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.
6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.
7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.
Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.
Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Busu kwa nani tena Nakadori😋😋😋😋😋😋😋
Its not always about moneyNdo nishasema tafuta hela end of discussion
Imagine mtu atake kuwalinganisha na under 20Hawa Wanawake watu wazima ni wasafii, alafu wanapapuchi Fulani Hivi tamuuuuuuuuuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wangu kanizidi miaka 25,ila ana drama kuzidi slay Queen anaesoma certificate CBE,Msumbufu,mjanja mjanja, hapa ndio naamini kua Age is just a number, itoshe tu kusema nilie nae ni MTU MZIMA KISHETI
Mwanzo huwa vinafata pesa lakini vingine kadri siku zinavyoenda kanazoea na kumuona huyo mzee kama kijana na kanazama penzini kabisa hata sumu kanaweza kunywa hasa huyo mzee wa miaka 50 akiwa anajua na kubandua