Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana


Ila huyo mtu mzima awe mtafutaji na wewe uwe mtafutaji ndio pananoga
Sio limojawapo linasubiria kutafuniwa et mapenz
Mwenzio anateseka umekaa panaupendo gan hapo
Yani haina tofaut na mtu umkute amenasa usimtoe we unamwambia tu pambana love Nakupenda utatoka [emoji41]
 
πŸ“Œ
 
Inaonekana una uzoefu mkubwa maeneo hayo
 
Mapenzi hayachagui mkuu.
Hawa watu above 50 wapendwe na nani jamani? Au wao hawana haki ya kupendwa? Wakipendwa mnasema ni sababu ya kutaka kitu ...kwelii??
 
Yeah wote mkiwa watafutaji inanoga sana.
Mitano tena kwa watu wazima
 
Suala liko pale pale 'Kujitambua & Kujiheshimu na akili, sio elimu'.

Anaweza akawa ni kijana ila akiwa anajitambua na kujiheshimu, that's good.

Kuna watu wazima ni wa hovyo kweli kweli! 😁

Sisi ma-Admin wa kurasa na majukwaa mbali mbali tunazo habari zao.πŸ˜€

Somehow nasalute, but ni vile tu umri umeamua kurest na mambo mengi wameshapitia. They know what's good & what's bad, so wanakuwa responsible!
 
Na ndo maana nimeandika wanaojitambua...natambua uwepo wa watu wazima wa ovyo kweli kwelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…