Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Nilimpata mtu mzma huyo mambo yalininyookea sana,sijui alikua na nyota gan yule mama.
Wale wanakuwaga washatubu, wengi hawana mambo ya kishwaini tena. Akikutunuku unakula kidude na mipunga anakupa yani unakuwa kama mwanae tu 😀😀😀 wale ambao wako vizuri na anakuona una brains hadi channel za mipunga anakupa.
 
Yeah umepigilia msumari
Kudumu masaa na masaa kwenye sex nako ni kutokuwa na majukumu asee.
Mtu una miradi debe hata mingine huijui unachotaka ni kulala kifuani huku unakunwa kunwa kichwa na kubembelezwa sio heka heka
Unaweza kupigwa kimoja viwili ila heavy weight hadi mwenyewe unaomba pooo!! Hizo bao 4 tano za vijana mbwembwe tu!

Wazee hhhoooouuuuuyyyyyeeeeeeee 💃💃!
 
Kwa hio umeliwa na mtu mzma
 
Hahah yani sku ya sku usishangae raaaaaaaaange imepaki hapo ni surprise ya birthday
Sitarajii makubwa hivyo, nafurahia kupetiwa na kuambiwa maneno mazuri, halafu anakuwa anakushauri kwenye changamoto za maisha. Unakuwa umepata mpenzi na mshkaji hapo hapo.
 
Na ndo maana nimeandika wanaojitambua...natambua uwepo wa watu wazima wa ovyo kweli kwelii
Bas hakuna tofauti ya kijana na wazee
Kila kundi kuna ambao wanajitambua na wengine sio
Kila kundi kuna ambao wana pesa na wako well connected
 
Dada ongezea watu wazima wenye kipato kikubwa i mean hela!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…