Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Vijana wana hekaheka sio kidogo nakwambia!!Ndo shida ya vijana hyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wana hekaheka sio kidogo nakwambia!!Ndo shida ya vijana hyo
Fanya yoote duniani!, Lakini furaha na Amani ya nafsi, peace of mind,Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....
Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii
3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.
4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.
5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.
6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.
7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.
Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.
Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Nimecheka sanaSina mivuto ya mapenzi
Hebu nipokee kwanza simu ya babu kwamsisi 🤣!Acha kabisa wewe, nasema hiviiii acha kabisa.
Tuna 10GB penzi full charge
Weee tuliaaa nitawapa mrejesho leoleoYou need deliverance 😅😅
Sasa uhame uende wapi?😆😆Nakosaje 😂😂 jf sihami
Kabisa mkuuFanya yoyote duniani, lakini furaha na Amani ya nafsi, peace of mind,
Inapatikikana pale utakapokuwa umemmliliki huyo mtu mzima, hapa namaanisha mtu mzima lakini awe (sahihi!)
anaepaswa kuitwa mume ama baba wa familia, na sio baba jeni!!
Mkiwa mwili mmoja- mke na mme mkilea familia, hakuna maisha yenye furaha na Amani kama hayo.
😅😅😅 tunazungumzia shangazi ambaye anakuwa mpenzi wakoKweli asee ngoja nitafute hapa nipo mwenge ngoja nikimaliza mishe nikatege pale sinza sindiko wanapatikana wengi
Nishaghairi.. 😂We si ulisema umeamua kutulia na madam
Nikimuangalia binti yangu naona dah. Hivi ndio mimi ntapokea mahari kweli 🤣🤣🤣? Kijana aje amejipanga...Wewe mmojawapoo 🤣
Fanya vyooote! duniani, lakini furaha na Amani ya nafsi, peace of mind,Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....
Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii
3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.
4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.
5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.
6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.
7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.
Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.
Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Hongera sana mwamba.Weee tuliaaa nitawapa mrejesho leoleo
Yeye anadhan masuala ya wokovu siyajui.
Papuchi ni papuchi na wokovu ni wokovu .
Tulieni tuuu.wa hivi mbona hawana Shida.
You know what am just a high value Man...hizi papuchi zipo tuu .
Kuna wengine wananileteaga pigo hizo ..
Nawapotezeaaa, wananitafuta Tena wenyewe nawala
Kusafiria nyota ndio kulike huko?Kasafiria nyota huyo, jichanganye ukutane na bishoo wa Katalunya 🤣🤣🤣
Na Extrovert ulivyo mtaalamu kwenye kujenga hoja zenye mashiko kijana ajipange kwerii kweriii 😅😅😅Nikimuangalia binti yangu naona dah. Hivi ndio mimi ntapokea mahari kweli 🤣🤣🤣? Kijana aje amejipanga...
Mie mwenyewe nimekumiss pia...Hahaha
Ujue nimekumiss
Hatujachat mudaaa