Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Niliona ile clip yako ukiwa Wavuvi Camp huo mwili sio wako ukipata shangazi

Mimi nitakupambania shangazi la ukweli anaishi Tegeta

Dah nimelia kwa uchungu sana kwa kauli yako [emoji24][emoji24][emoji24] umeona mwili kama naomba chai posta hapa [emoji24][emoji24][emoji24]

Nipambanie uniweke hapo niishi ninenepe kidogo
 
Hivi binti kutoka na mwanamume mwenye 50+ anafuata mapenzi au pesa tuseme tu ukweli

Hili ni swali la kuuliza? Mwanaume mwenye miaka 50 aliyejipanga haswa, atakuwa na watoto (wanaoweza kulingana au kumzidi kabisa hiyo kimada), atakuwa na mke au mama watoto wake.

Binti anapoamua kutembea na mwanaume huyu, huwezi kusema anafuture nae wala huyo mwanaume hawezi kuweka malengo yake kwake badala yake itakuwa ni kutumiana tu.

Mabinti wengu hudhani wanapendwa mpaka pale ambapo watapewa ujauzito, kisha wanaume hao kuingia mitini kwa kuhofia kuvuruga familia zao. Ni ngumu sana mwanaume anaejitambua kujali kimada mbele ya mwanamke wake.

Kwahiyo ni PESA tu ndo huwa wanafata.
 
Itakuwa jambo la msingi na sekondari.. Unipikie na kabiriani, juice ya embe kwa ya kutosha.. Nyama nyingi si unajua sisi wa uswahilini tunapakuliwa mboga tunahesabiwa kabisa, nyama(finyango) ni mbili mbili.. 😂 😂
Hataki niungue vidole
Anapenda tule nje
Sku moja moja sana ndo huwa napika..
Kama hyo ya wewe kuja lazima iwe out
 
3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.
Kumbe watu wazima wote wana pesa...sijui nakwama wapi!
 
Dah nimelia kwa uchungu sana kwa kauli yako [emoji24][emoji24][emoji24] umeona mwili kama naomba chai posta hapa [emoji24][emoji24][emoji24]

Nipambanie uniweke hapo niishi ninenepe kidogo
Usihofu mdogo wangu naelewa unavyopambana siku si nyingi utapata pa kuutwika mzigo wako na kuinjoi raha za dunia.

Sisi si huwa tunawapeti peti hawa mabinti sasa kwa shangazi wewe utapetiwa kama katoto na kupakatwa unapakatwa mixer kuogeshwa
 
[emoji847][emoji847][emoji847] fanya haraka niwe nakesha wavuvi naamkia amalfi
 
Back
Top Bottom