Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Pesa kaka.

Tena pesa zinazotolewa bila hata kuhoji... na ana mke nyumbani lakini hakuwahi kupata bahati hiyo kutoka kwa mumewe wa ndoa.

kuna mzee mmoja alikuwa kitengo serikalini. Ilikuwa ndo michezo yake. Anahonga sana vibinti pesa na vidogori ila wanae hali ngumu.

Mabinti wa mjini wakawa wanampa michezo adimu mwisho wa siku akapata na ngoma. Saiv anauguzwa na mkewe [emoji4][emoji1474]

#watuwazimamujifunzekituhapa
Walikua wanamchezesha kitofauti tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.

7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Mie mdogo!
 
Kuna mwana ccm mmoja ni ex waziri alinishangaza sana. Yani sixty years plus lakini alikuwa na maajabu ya haja hadi nilishangaa.
Dahh halafu msafiiiiiiiiiiiiiiii
..Kuna vitu alikuwa katumia siku kadhaa before specifically akutendee maajabu , na seems it panned out well for him, hapo akikujaribu tu ukakumbukia unaji marinate taartibu ex minister anakula warm meal served.
 
..Kuna vitu alikuwa katumia siku kadhaa before specifically akutendee maajabu , na seems it panned out well for him, hapo akikujaribu tu ukakumbukia unaji marinate taartibu ex minister anakula warm meal served.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Simhitaji tena....
Kwanza tuko sehemu tofauti kwa sasa
 
..scope ya hayo mahusiano ni ipi!!? Are they both single ?..wanamingle au tayari Kila mmoja ana roster list yake huko kwingine?! ..mwaka huu nami nikipata lishangazi hivi la kwenda 40s hivi la kubadilishana mawazo na kushauriana mipango ya maendeleo ...sio Hawa wataka macho manne, daily invoices zisizo na kichwa wala miguu .
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mi nataka macho mawili tu
 
Halafu siku hizi vijana mbona hamna maajabu yoyote we chunguza wanao nunua vumbi na kunywa mchuzi wa pweza ni wazee au vijanaπŸ˜¬πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wangu kila eneo yuko vizuri namshukuru Mungu kwa kweli.
Mi ndo maana nikitongozwa na kijana naona kama nimekosewa
 
mzee Akhaa hakupi presha wala stress, anakupa show ya kibabe aah bwana 😊😊😊
Hii kauli ishaniharibuuu hapaa walai πŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜ŒπŸ˜‚πŸ˜‚ Nishamkumbuka mtyuuuuu
πŸ€£πŸ˜ŽπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈπŸƒπŸΌβ€β™€οΈ!
 
Kinachoharibu mahusiano, ni mmoja kumgeuza mwenzake kuwa chuma ulete. Kama wataheshimu hisia, mahusiano yatakuwa mazuri kwa watu wazima na vijana.
 
Back
Top Bottom