Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Siku hizi situmi nauli kizembe, enzi hizo waliniotea

Experience is the best teacher
 
Dah!🀣🀣🀣kwa hiyo wewe huwa unakutana na vibaka au sio?
Sio vibaka, nakutana na baadhi ya wadada wengi ni vituko, mpaka najiuliza huyu mtu kwa tabia zake hizi, ataolewa na mwanaume wa aina gani, nimeelewa biblia inamaanisha nini inaposema mke mwema ni nani awezaye kumwona.

kwa asilimia kubwa mwanaume sahivi ukitaka kuoa, aidha uwe mcha Mungu sana, Mungu akuoneshe ubavu wako, au kama ni mtu wa kidunia inabidi ujitoe ufahamu, uwe na uwezo wa kuvumilia ujinga wa mwanamke, ujilipue, ujirushe na ujifanye mjinga, kila asemacho mwanamke, mwanaume inabidi useme sawa, ukitumia logic, miaka 40 hiyoo, huna mke wala mtoto Joannah
 
Kama ni mwanaume wa morogoro kwa hilo sishangai

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 

Mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Sijamsikia mzee mwenzangu vipi wewe utanitumia nauli au nijilipie ERoni
Nilifanya hivyo ujanani mzee mwenzangu, nakumbuka miaka hiyo mtoto yupo chuo niligharamika balaaπŸ˜€πŸ˜€, ila uzeeni kama hivi siwezi mtumia mtu nauli.
 
Ila bwana, mapenzi kitu cha hovyo sana. Unadate na mtu yupo Mwanza wakati mji uliopo umejaa wanawake kibao, ugharamike nauli mwanza-dar wakati kitu kikiwa ubungo hapo ni mwendo wa sms moja tu ghetto linanukia unyunyu wa mtoto.
Unanisema mm eeh πŸ˜€πŸ˜€
 
Ila bwana, mapenzi kitu cha hovyo sana. Unadate na mtu yupo Mwanza wakati mji uliopo umejaa wanawake kibao, ugharamike nauli mwanza-dar wakati kitu kikiwa ubungo hapo ni mwendo wa sms moja tu ghetto linanukia unyunyu wa mtoto.
πŸ˜…πŸ˜… banaa wee mademu wa mwanza watamu kuliko wa Dar.. ila uzuri mademu wa kule hawaombi, unashagaa kafika kalipia room hotel, katandika mashuka yake chumbaa kinanunikia utuli.. na msosi kaisha nunua pale kijiwe mishikaki.. na kinywaji upendachoo . sio hawa wezi wa dar hata geust ya buku 15 hawezi lipia
 
kama anatokea kwao basi umuoe kabisa, lakini kama ni hawa ambao wanajitegemea kwenye maisha anaomba nauo automatically pure ni malaya mkuu.
kwanza mwanamke anae jitambua hawezi kuomba nauli anajigharamia mwenyewe na hapo ndipo thamani yake inaonekana tofauti na yule anayeomba. ukiomba nauli manake wewe ni cheap bidhaa cheap haina thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaemdate anaishi dunia nyingine? Kuna wakati ukitafakari unaona kabisa nguvu inayotumika ni kubwa sana, wakati mji wako una midume kibao.
Yaani acha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu midume hasa ila roho inatak kule kule kilometer 78900
 
Kuna tofauti ua kuusafirisha kwenye nyehunge na the wings of kilimanjaro
kikubwa ufike. Muyajenge hata mkitaka hata kununua Gulfstream 650 ... ila muache kuwa matonyaaa.. unashindwa jikatie tiketi ya go and return ? alafu ukifanya hivyo sie wanaume tunakukubali sana utaona ma miamala ya kutosha maana mtu atana una akili nzuri na ya kimaendeleo.. ila sio mnaanza tu hata nauli ya KISBO inakutoa kando πŸ˜…πŸ˜…
 
Wanazingua sana hawa watu.. yani wao wameishakuwa kama omba omba πŸ˜…πŸ˜…
Mkuu kuna ambao kweli hawana, hawana means za kuwaingizia kipato. Bnafsi hao nawaelewa, ila mtu ana kipato na unaombwa nauli, anyway vijana muendelee kulisongesha. Nilifanya hivyo once wakati nadate mtoto niliyetaka kumuoa....haikufanikiwa!
 
Yaani acha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu midume hasa ila roho inatak kule kule kilometer 78900
Ukitaka usiumize kichwa, angalia mazingira yanayofikika kirahisi. Binafsi hata kuolewa nahisi ni muhimu kuangalia, sio unaishi Kagera unaolewa na kidume kwao mbeyq, makazi yenu ni arusha...naona inakuwa ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…