Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Siku hizi situmi nauli kizembe, enzi hizo waliniotea
Experience is the best teacher
Experience is the best teacher
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vibaka, nakutana na baadhi ya wadada wengi ni vituko, mpaka najiuliza huyu mtu kwa tabia zake hizi, ataolewa na mwanaume wa aina gani, nimeelewa biblia inamaanisha nini inaposema mke mwema ni nani awezaye kumwona.Dah!🤣🤣🤣kwa hiyo wewe huwa unakutana na vibaka au sio?
Kama ni mwanaume wa morogoro kwa hilo sishangaiSikuwa najua chochote kama hivyo alisema tuonane mimi nilikuwa na viakibaa vyangu vya poshoo ya uchaguzii wa Magufuli nikamfuattaa tena nikampa taarifa akasema poa njoo
Nashangaa tu nafikaa Moro mtu hapokeii simu mpk naingiaa Dar ikabidi nimtafute best angu wa Dar nikalala kwake siku mbili napiga hapokei nikageuza akakaa siku mbili akanitafutaa et ananiambia simu yake ilikuwa mbovu haiwezii kupokelekaa wala kujibu chochote daaaaaaa
achana na level hiyo ya mapenzi. kama una date na demu ambae anakosa hata laki moja au 50 hamna kitu hapo.. sio kila mtu anapo muita mpenzi wake basi ni kumtomber , wakati mwingine ni story tu mtu ume mkumbuka mwenzako .. tafuteni hela muwe msaada kwa wapenzi wao msiwe kama virushi vya taka taka banaaa.. msione tunashida sana na kumer
Hisia gani bhana acheni ubahiliUkitumia nauli yako, inaleta hisia zaidi
Naweka sio mda mrefuNamba iko wapi
Unanisema mm eeh 😀😀Ila bwana, mapenzi kitu cha hovyo sana. Unadate na mtu yupo Mwanza wakati mji uliopo umejaa wanawake kibao, ugharamike nauli mwanza-dar wakati kitu kikiwa ubungo hapo ni mwendo wa sms moja tu ghetto linanukia unyunyu wa mtoto.
Unaemdate anaishi dunia nyingine? Kuna wakati ukitafakari unaona kabisa nguvu inayotumika ni kubwa sana, wakati mji wako una midume kibao.Unanisema mm eeh 😀😀
😅😅 banaa wee mademu wa mwanza watamu kuliko wa Dar.. ila uzuri mademu wa kule hawaombi, unashagaa kafika kalipia room hotel, katandika mashuka yake chumbaa kinanunikia utuli.. na msosi kaisha nunua pale kijiwe mishikaki.. na kinywaji upendachoo . sio hawa wezi wa dar hata geust ya buku 15 hawezi lipiaIla bwana, mapenzi kitu cha hovyo sana. Unadate na mtu yupo Mwanza wakati mji uliopo umejaa wanawake kibao, ugharamike nauli mwanza-dar wakati kitu kikiwa ubungo hapo ni mwendo wa sms moja tu ghetto linanukia unyunyu wa mtoto.
kama anatokea kwao basi umuoe kabisa, lakini kama ni hawa ambao wanajitegemea kwenye maisha anaomba nauo automatically pure ni malaya mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo unafikiri kama wewe unakutanaga na wadada wenye kazi zao zinazowaingizia pesa unafikirii ni TZ yote wanawake wana hizo hela
Ndio maana kuna wanawake ambao wanaolewa wanatokea kwao hawana chochote zaidii ya nguo walizonunuliwa na wazazi wao
hizi ni kauli za madangaAache kutafuta hela ya kikoba atafute hela ya kuja kwako[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazingua sana hawa watu.. yani wao wameishakuwa kama omba omba 😅😅Mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Yaani acha tu 😂😂😂 alafu midume hasa ila roho inatak kule kule kilometer 78900Unaemdate anaishi dunia nyingine? Kuna wakati ukitafakari unaona kabisa nguvu inayotumika ni kubwa sana, wakati mji wako una midume kibao.
kikubwa ufike. Muyajenge hata mkitaka hata kununua Gulfstream 650 ... ila muache kuwa matonyaaa.. unashindwa jikatie tiketi ya go and return ? alafu ukifanya hivyo sie wanaume tunakukubali sana utaona ma miamala ya kutosha maana mtu atana una akili nzuri na ya kimaendeleo.. ila sio mnaanza tu hata nauli ya KISBO inakutoa kando 😅😅Kuna tofauti ua kuusafirisha kwenye nyehunge na the wings of kilimanjaro
Mkuu kuna ambao kweli hawana, hawana means za kuwaingizia kipato. Bnafsi hao nawaelewa, ila mtu ana kipato na unaombwa nauli, anyway vijana muendelee kulisongesha. Nilifanya hivyo once wakati nadate mtoto niliyetaka kumuoa....haikufanikiwa!Wanazingua sana hawa watu.. yani wao wameishakuwa kama omba omba 😅😅
Ukitaka usiumize kichwa, angalia mazingira yanayofikika kirahisi. Binafsi hata kuolewa nahisi ni muhimu kuangalia, sio unaishi Kagera unaolewa na kidume kwao mbeyq, makazi yenu ni arusha...naona inakuwa ngumu sana.Yaani acha tu 😂😂😂 alafu midume hasa ila roho inatak kule kule kilometer 78900