Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

Ushaisha bro, ziko episode 4
 
Maskari wa wenzetu, akili nyingii nguvu kiasi,
Wa kwetu sasa 😂😂🤣 ni NGUVU KULUKUNDU miguvu mingii akili kisoda, wakikamata ni mateso tu, hata kosa sio lako utakiri tu, kisha uende kupambana mahakamani.
Upelelezi ni kazi inayohitaji pesa nyingi na vifaa na vya kisasa Tz kwetu hamna uwekezaji huo ndo maana wauaji wengi wanashinda kesi mahakamani wanarudi mtaani kinacho watesa ni kukaa mahabusu muda mrefu tu anaweka kukaa hata miaka 6 mahabusu kwasababu kesi haina dhamana ila baadae anashinda kesi kwasababu ushahidi haujitoshelezi labda awepo shahidi alieshuhudia kwa macho yake ndo huyo mtuhumiwa anaweza kufungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…