Mapenzi ya Michael na Shirley Garvin, yalivyogeuka tukio la mauaji

Hata kama umeshuhudia Kwa macho Bado unaweza kushindwa bila kuwa na ushahidi unaoshikika.
 
Hata kama umeshuhudia Kwa macho Bado unaweza kushindwa bila kuwa na ushahidi unaoshikika.
Shahidi wa kuona kwa macho ndo shahidi anaehitajika zaidi kwenye kesi za mauaji akiwepo umekwisha
 
Shahidi wa kuona kwa macho ndo shahidi anaehitajika zaidi kwenye kesi za mauaji akiwepo umekwisha
Utahakikishia vipi mahakama kama ni kweli unachokisem umekiona na sio kutunga bila kuwa na ushahidi unaoshikika?
Unaweza kupewa tatizo la afya ya akili kuwa unasema mambo yanayofikilika.

Upige picha crime scene hapo sawa, uwe na kifaa chochote kilichotumika na hakikisha haukishiki maana kinaweza kukujumuisha na wewe. Lakini Kwa kusema Kwa mdomo unaweza kupangwa tu.
 
Jaribu kuhudhuria mahakamani ukiwa upo free utaona ni jinsi gani watu wana prove
 
Jaribu kuhudhuria mahakamani ukiwa upo free utaona ni jinsi gani watu wana prove
Japo kibongo bongo kufungwa au kuachiwa huru inategemea na nguvu ya uchumi wako, uwe na mawakili wazoefu hata kama umefanya tukio unatoboa.

Na ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye ushahidi wa kimaabara. Hii unapata majibu yasiokuwa na mashaka ( evidence without any doubt).

Sisi huku Bado tutatumia kumsoma mtu kihisia sometimes tunakosea sana.
 
Ndo ukweli unaweza kutengenezewa mashahidi wa uongo na ukafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…