Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Naunga mkono hoja, ila deep down sijawahi kuweka miguu yangu yote miwili kweye mahusiano kwa kuogopa hizi man down. Hii inesaidia hata akipiga simu b4 sijaingia kwenye mtihani au apige alfajiri as we’re OVER nitakua okay cz mguu mmoja ulikua standby generator 🥳🥳🥳
 
Mapaka karne hii bado unawaza mtu mwenye dharau kiasi hicho mi naweza nikasamehe usaliti ila sio dharau kutoka kwa mwanamke hata nyuma huwa sigeuki you're not my type katika wanaume na wewe unajihesabu na miongoni mwa hzo learn to stay alone for long periods it works a lot ila hii kung'ang'ania kila chaka ni hatari.
 
ila watu mnachekesha kwa hali kama hiyo kuna haja ya kuflow mistari yoote sijui ntampata wapi kama yule,basi jinyonge sasa
 
Ili uishi kwa amani , hii application ni muhimu !
 
Ukiendelea kumfukuzia kama hutajiua basi Utamuua. So kweli MAN DOWN!!
 
Kabla haujasamehe usaliti kumbuka ilitoka akairudisha ndani yeye mwenyewe
 
Nimecheka kama fala, hivi na nyie wanaume mnanyanyaswa na mapenzi? Nikajuwa sisi wanawake ndo tuliumbiwa manyanyaso kha.
5yrs back nilipitia the same story. Itoshe kusema tu, pole sana.

Alipokelewa na ampendae wewe tafuta mwingine.

Note: wewe na huyo mwanamke tofauti na hayo uloyataja hapa kipi cha maana mlikuwa mkishare? Vip kiuchumi wewe na yeye vip? Umri wenu? Maslai na matarajio ya baadae?

Hii ishu ikitokea kwa mwanamke ni kawaida hatushangai na hakuna maswali ila ikitokea kwa mwanau unatupa mawazo ya kuwaza nje ta box.
 
Customary MAN DOWN MAN DOWN comment.

Wanawake wapo wengi kijana. Pitia some bodies kwanza (safely) na utamsahau tu as time goes.
 
Mapenzi kamari, ukiliwa unapotezea, ungekuwa mikoani sawa. Dar kuna mamilioni ya pisi kali zinangojea kampani yako. Huyo tayari si wako
 
Nyege nawe zimeisha zipo kwa mwingine, mpotezee
 
Pole sana, weka picha yake upewe muongozo...
 
Kwaujumla kijana kama huyu akishampotezea na kuwa konki au asiyejali. Haki atawaliza wadada wengi sana ila chanzo ukikijua hutaamini na jinsi alivyojitahidi kuwa mtulivu wanawake hawataamini. Ila hapo ndipo mwanaume anapoanza kubadilika maana mlimbadilisha perception yake juu ya mapenzi psychologically. Ataanza kuwa the hunter, ila chimbuko ni hapo.
 
Utakuja kufa ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo manzi hakutaki move on au la endelea kuona ukiumia na moyo ukikatwa katwa vipande kama mshikaki
 
Hapa watu sidhani kama wataelewa maana kumatch personality yaani ni other half of yourself ni kama umekutana na wewe mwenyewe mnafanana kila kitu kama lile song la justin timberlake "Mirrors."
Wanawake wapo wengi ila ni ngumu kukutana na mtu mnayeendana na ndio maana akitokea mmoja akakuacha unaanza kulialia sababu dhumuni sio kufanya sex tu bali kuenjoy maisha pamoja.

Anyways haya ni mambo ya Hollywood drama movies, mimi siwezi kuja kulia na kuumia kisa fiction theory inayoitwa mapenzi. Kuna mambo magumu ukipitia alafu ukaona mtu anaumia kisa mapenzi unabaki kucheka na kushangaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…