Mapenzi yanauma jamani

Bana acha utoto,hizo tu nisalamu kati ya watoto wa kike na wanaume,jitaid kukua basi
 
unazidi kuuchoma moyo wangu

pole mkuu, ila jitahidi kujipanga kimaisha na uoe..wanawake wapo wengi

mie niliyemuoa siye niliyekuja tarajia kuoa..nilikaa na mtu miaka mitano ya uhusiano ila tukaja shindwana maana wanawake akili zao wanazijua wenyew so usiumize bichwa lako bureee..
 
Ulitaje?
Ulitaka a-chart na mtu asiyemjua?
Ulitaka atumie njia gani labda kukuliza kuwa wewe ni nani?

Jamii ya wanaume mnaosusa manatutia aibu.
I mean jamii ya wavuana
 
Una miaka mingapi
 
jaribu kumwibukia kwa kumstukiza siku ya ijumaa! uniangia pale jion saa mbili ucku vuuupu.............. kama hujakunatana na kijepa ndani...
 
sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa

girl herself & her p#$@y are all mystery.... utapgiwa tu.... maneno yake na mnato wako sio sababu ya yy kuwa hajapgwa
 

Furaha ya mwanamke ni kutongozwa tongozo za kutosha kwa mwezi
hivyo usishangae sana kwani pweza ukimchokoa sana huwezi kumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…