Mapenzi yanauma jamani

Inabidi magufuli apige marufuku watu kupenda penda hovyo kama huyu mtoa mada.
 
Matatizo mengine mnayatakaga wenyewe tu. Ila hapo sijaona cha kukufanya unune.
 

sawa mkuu asante
 
Hapo sasa ndiyo pakujua anapendelea nini ambacho wewe huwezi kumpa.
 
Jaribu ushoga...I mean ya jinsia moja labda hayaumi
 
Mi sikubaliani na wanafiki woote wanaokuona we jamaa ni mzembe unavoumia eti kisa huyo ni mpenzi tu!, hata angakuwa malaya wa kumuokota huko unapomwona na jamaa mwingine lazima uhisi maumivu moyoni aina ya wivu, sa watu wanapendekeza eti hadi ukimuoa ndo uumie akifanya ivo!!, jamaangu pole ila cha kufanya hapo mpe karipio kali au kwa kutumia namba ileile endelea kuchati nae kama sio wewe ili ubaini ukweli afu baada ya hapo umchane live mana kwa hapo mlipoishia kuchati ni rahisi kwake kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…