Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Inabidi magufuli apige marufuku watu kupenda penda hovyo kama huyu mtoa mada.
 
Matatizo mengine mnayatakaga wenyewe tu. Ila hapo sijaona cha kukufanya unune.
 
pole mkuu, ila jitahidi kujipanga kimaisha na uoe..wanawake wapo wengi

mie niliyemuoa siye niliyekuja tarajia kuoa..nilikaa na mtu miaka mitano ya uhusiano ila tukaja shindwana maana wanawake akili zao wanazijua wenyew so usiumize bichwa lako bureee..

sawa mkuu asante
 
Hapo sasa ndiyo pakujua anapendelea nini ambacho wewe huwezi kumpa.
 
Jaribu ushoga...I mean ya jinsia moja labda hayaumi
 
Mi sikubaliani na wanafiki woote wanaokuona we jamaa ni mzembe unavoumia eti kisa huyo ni mpenzi tu!, hata angakuwa malaya wa kumuokota huko unapomwona na jamaa mwingine lazima uhisi maumivu moyoni aina ya wivu, sa watu wanapendekeza eti hadi ukimuoa ndo uumie akifanya ivo!!, jamaangu pole ila cha kufanya hapo mpe karipio kali au kwa kutumia namba ileile endelea kuchati nae kama sio wewe ili ubaini ukweli afu baada ya hapo umchane live mana kwa hapo mlipoishia kuchati ni rahisi kwake kujitetea.
 
Back
Top Bottom