Barnaba pro
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 210
- 13
- Thread starter
-
- #141
Mi sikubaliani na wanafiki woote wanaokuona we jamaa ni mzembe unavoumia eti kisa huyo ni mpenzi tu!, hata angakuwa malaya wa kumuokota huko unapomwona na jamaa mwingine lazima uhisi maumivu moyoni aina ya wivu, sa watu wanapendekeza eti hadi ukimuoa ndo uumie akifanya ivo!!, jamaangu pole ila cha kufanya hapo mpe karipio kali au kwa kutumia namba ileile endelea kuchati nae kama sio wewe ili ubaini ukweli afu baada ya hapo umchane live mana kwa hapo mlipoishia kuchati ni rahisi kwake kujitetea.
Kwani hapo kuna tatizo gani?
Umeyataka mwenyewe
Vyuo c vimefunguliwa lakini!???.. Au ww mjasiriamali???
Weeee! abiria must uhakikishe kama mzigo wako uko poa
Ulimkuta bikra? Tuanzie apo kwanza kabla sijakoment.
Furaha ya mwanamke ni kutongozwa tongozo za kutosha kwa mwezi
hivyo usishangae sana kwani pweza ukimchokoa sana huwezi kumla.
1.Elimu 2. Elimu 3. Elimu sasa naanZa kumuelewa Lowassa
girl herself & her p#$@y are all mystery.... utapgiwa tu.... maneno yake na mnato wako sio sababu ya yy kuwa hajapgwa
jaribu kumwibukia kwa kumstukiza siku ya ijumaa! uniangia pale jion saa mbili ucku vuuupu.............. kama hujakunatana na kijepa ndani...
hajanitafuta toka jana boy zaid ya sa 7 iv akaniulza nimwambie nlchomkosea sikumjibu,na sijui analenga kipi!
Yani haya mambo ya kuchati bwana ya ajabu sana, unakuta mtu anamwandikia mpenzi wako vpi wangu, afu ye anajibu poa, ila sasa hili neno wangu wanalichukulia poa lakini ukiliona mwene mtu unalifafanua kwa kina zaidi, kwaiyo huenda nae alijibu hivo hilo neno my love alilichukulia poa tu kama maneno menginemkuu nashukuru but kanitafuta kasema hawez kuwa na mtu out of me,xo nijiamin
20 na ushee
kula like mkuu,mependa hii
Kiukwelii baada ya kusoma nilijikuta najiuliza ana umri gani? Anyway, kijana ndio anaumwa Mapenzi, tumshauri cha kufanyaKwakweli JF ingebafili watu wajiunge kwa vitambulisho maalum. Huyu sijui kama anazidi miaka 12.
Kishajua Ni Ww!!hajanitafuta toka jana boy zaid ya sa 7 iv akaniulza nimwambie nlchomkosea sikumjibu,na sijui analenga kipi!
ha ha ha. Swali lako limenifanya nicheke. Shida ziko tatu 1.The Boy; 2.The Boy; 3.The Boy :closed_2:Oh boy! Sasa hapo shida ni nini?