Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Don't take love seriously, yaani ukiyachukilulia serious lazima yakuumize. Usiwe mwepesi wa kupenda, tena kwa kizazi hiki ndio kabisa huna haja ya kupenda serious, utaumia!!
 
Acha tu bro kale kafeeling sio poa

Imagine watu tumeachwa tunasikilizia maumivu miaka 3 baadae

Unanyatia IG yake uone anafanya nini

Namba unayo unatamani upige ila dah

Ukikumbuka yale manjonjo....

Acha tu
Ongea nae tu mkuu myamalize, coz three years na bado hajapata replacement it means njia alizopita kwenye moyo wako ni zatofauti sana... kuwa sharkhan kama vipi, hamna kukata tamaa hadi kieleweke hahahaaa
 
😹😹😹 mpaka bangi ulivuta?
Pole sana
lakini waaapi.. bangi haikufua dafu...
kwa mala ya kwanza nilikaa miezi miwili bila kuwasiliana hata na mama yangu mzazi nilikuwa naona wenge tu.. sema nini nimetoboaaaa hahahaha! ila sitomcheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…