Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Can you imagine ile mwez wa 2 trh 14 , siku ya wapenda nao , nikatuma sms waapi , nikajua kalala, kuamka sikuon hat sms nikasem kwisha, kumbe yule fala karudiana na ex wake.
Haaaa haaa jamaa umenichekesha sana
 
Apia kwa Mungu wako...


Cc: Mahondaw
 
Wewe na matatizo ya kiuhasibu hadi kwenye mapenzi! Haiwezekani umri huu ukawa tu na aliyekubikiri
 
We ulimpata Mahondaw hana hasira kwa drama nilizosoma soma humu mie ingebaki story tu kwenye maamuzi ya mahusiano sinaga huruma, kuna mmoja alijirudisha baada ya kunichunia ghafla tu km mwaka na nusu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…nilimtimua km mbwa hakurudia tena,
Mahondaw ana hasira haswa... apia kwa Mungu wako kama hunaga huruma... ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
We ulimpata Mahondaw hana hasira kwa drama nilizosoma soma humu mie ingebaki story tu kwenye maamuzi ya mahusiano sinaga huruma, kuna mmoja alijirudisha baada ya kunichunia ghafla tu km mwaka na nusu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…nilimtimua km mbwa hakurudia tena,
Ukiwa hivyo hakuna mwanaume hapa duniani utawezana naye. Mwanaume ni mtu wa mishemishe, tunatofautiana usiri tu
 
Maskini ndio wanaumia sana na mapenzi, matajiri wala hawaumii, hata kidogo, sijui kama mtanielewa, sbb tajiri ana uwezo wa kuwa na wapenzi wengi na wote wakali na hahisi kuachwa na mmoja kuumia.
 
Kuumia ni mara 1 tu! Kuumia kila penzi ni ujinga
Watu wote waliojaa humu duniani unamlilia mtu hadi unashindwa kula ni ugonjwa wa akili
Hiki ndo kitu huwa nakiwaza yani watu bilioni kadhaa kweli kuhangaika na mutu 1 aaaiiihhh labda sijui lakini labda ni kiburi changu cha uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ