Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Kuweni na viburi vya uzima mapenzi hayatawaumiza, ukiona mtu unaempenda kaanza kujiona chips mayai, au chips kuku wa kienyeji muwahi mkache, mlete taratibu akijaa kwenye mfumo ameisha, ukishakuwa sawa sasa yeye anaweweseka ndo na wewe unaanza kuwa chips mayai...... katika hicho kipindi ni hakuna kujibu sms wa kupokea simu hata atumie line ya ikulu, maza faki
Apia kwa Mungu wako...


Cc: Mahondaw
 
Mimi sijawahi kuachwa, sina uhakika sana na uchungu wa kuachwa, lakini kupitia nyinyi nimejiridhisha kwamba mapenzi yanauma na matokeo yake ni kudhoofu afya na roho.

Pamoja na karaha zake asikwambie mtu mapenzi ni matamu sana. Utamu wa mapenzi hakuna maneno ya kutosha kuelezea. Kwa waliowahi kupenda mnaweza kurejea kumbukumbu zile nyakati za mwanzo. Kuna kale kafeeling mlikuwa mnakasikia mkiwa mmezama kwenye dimbwi zito la mapenzi.

Usiombe mkakutana wote wawili mnapendana. Hatari sana. Unaweza kuona dunia nzima hii wewe ndio mtu wa maana wengine wanapoteza muda tu. Am talking about emotions, intimacy, passion, and commitment.

Hata mkipigana show inakuwa show inayoambatana na hisia kali zisizoelezeka. Mnajikuta ni kama mpo dunia ya kwenu peke yenu. Labda mtu mwingine hapa.anaweza kuelezq vizuri zaidi.

Tatizo ni kufanya hisia hizi tamu ziendelee kuwa hai. Binadamu hawaaminiki, wako uncertain sana. Lakini kama trend ya mapenzi mazito ingekuwa maintained mpaka kufa, basi dunia ingekuwa nusu ya peponi.
Wewe na matatizo ya kiuhasibu hadi kwenye mapenzi! Haiwezekani umri huu ukawa tu na aliyekubikiri
 
We ulimpata Mahondaw hana hasira kwa drama nilizosoma soma humu mie ingebaki story tu kwenye maamuzi ya mahusiano sinaga huruma, kuna mmoja alijirudisha baada ya kunichunia ghafla tu km mwaka na nusu😅😅nilimtimua km mbwa hakurudia tena,
Mahondaw ana hasira haswa... apia kwa Mungu wako kama hunaga huruma... 🤣 🤣
 
We ulimpata Mahondaw hana hasira kwa drama nilizosoma soma humu mie ingebaki story tu kwenye maamuzi ya mahusiano sinaga huruma, kuna mmoja alijirudisha baada ya kunichunia ghafla tu km mwaka na nusu😅😅nilimtimua km mbwa hakurudia tena,
Ukiwa hivyo hakuna mwanaume hapa duniani utawezana naye. Mwanaume ni mtu wa mishemishe, tunatofautiana usiri tu
 
Maskini ndio wanaumia sana na mapenzi, matajiri wala hawaumii, hata kidogo, sijui kama mtanielewa, sbb tajiri ana uwezo wa kuwa na wapenzi wengi na wote wakali na hahisi kuachwa na mmoja kuumia.
 
Back
Top Bottom