Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
Kirahisi hivyoAchana nayo fanya mishe zingine
Kwaiyo spana yangu Hi wapiKila spana Ina nati yake ukiona unaumia tambua sio spana yako
Azingatie apaAnza kwa kutafuta hizo hela ambazo hauna
Mkuu tukio la 5 hili au Mimi Mungu ndio kanichagua kuwa mfano kwa wanaoteseka na mapenziMoyo wako utatanuka tu baada ya kupigwa matukio bin kadhaa... Usiogope...
Ishu iko hapa......Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi
Humu sitaki bebi ni matapeliAcha kulia Lia hebu mcheki Tajiri Sina BAYA alikuwa anatafuta bebe wa JF ammwagie hela
Kwaiyo bro what should I doIshu iko hapa......
Wamekuelewa
Wewe huyo ni tajiri kweli😂Humu sitaki bebi ni matapeli
Utapopata asiyekuumizaKwaiyo spana yangu Hi wapi
Mambo ghafla haya hela nitapata ila ya siku mbili tatu mtihani 😫😫Anza kwa kutafuta hizo hela ambazo hauna
Ukiacha uteja wa mapenzi itakuwa rahisi tuKirahisi hivyo
JamiiForums wote makapuku ujaona uzi wao wa makapukuWewe huyo ni tajiri kweli😂