sawa mkuuNitafutiee huyo bikira mkuu
😂😂Ungekuwa walau na 37 ningekufikiriaa wewe bado toto
Watu mna siri, kumbe mapenzi yana hela na hamsemi.....😁Tutapata wapi hela sasa yakifutwa maana ndio sehemu ya kujipigia vihelahela bro 😎
Okay' sawa'2
777
Backups zipo mkuu ila kenyewe ndio kalikuwa kanaeleweka 😣😣Shida kakuacha au shida ni zile hela zake?
Btw unakosaje back up sis?
Huyo nimemwahi mkuu.secretarybird kimbia haraka kabla mzabzab na Mbaga Jr hawajafika kuna mchongo hapa. Labda mtapunguza shobo kwa my wangu Nusratt
Hapa unajionesha kuwa wewe ni binti ila huko nyuma ulishajionesha wewe ni mwanaumeHaya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo
Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏
Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Hakuna cha kubadili ni vile tu ninaingia u husiano na watu tayari wana mahusiano yao tena huweza kuta ni seriouslyOkay' sawa'
Jifunze kuwa na muhimili ambao utakuwa nguzo zaidi kwako, hivyo itakujengea heshima na kukuweka kuwa wakwanza zaidi, tofauti na unavyokuwa mchepuko...
Tizama mahusiano yako, kama kila ulikua naye anakufanya kuwa mchepuko, jaribu kutafuta sababu huenda kuna mahala unakosea either, kimuonekano, mwenendo, tabia au hulka..
Badili unaloona
Ooh' sawa Pole MamaHakuna cha kubadili ni vile tu ninaingia u husiano na watu tayari wana mahusiano yao tena huweza kuta ni seriously
Hahaha yasiyo kuhusu yasikuumize kichwa mkuuHapa unajionesha kuwa wewe ni binti ila huko nyuma ulishajionesha wewe ni mwanaume
Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.
![]()
Nimetembea na mchumba wa Marehemu binamu yangu
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani.. Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu. Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean...www.jamiiforums.com
Kabla ya hii napo ulilalama:
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...
![]()
Msaada tutani wakuu
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...www.jamiiforums.com
ThankOoh' sawa Pole Mama
😂😂😂 tuwe macho na matapeli wa mtandaoniHapa unajionesha kuwa wewe ni binti ila huko nyuma ulishajionesha wewe ni mwanaume
Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.
![]()
Nimetembea na mchumba wa Marehemu binamu yangu
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani.. Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu. Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean...www.jamiiforums.com
Kabla ya hii napo ulilalama:
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...
![]()
Msaada tutani wakuu
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...www.jamiiforums.com
🤣🤣🤣🤣🤣 sema amechelewa, nenda kwenye ule uzi wa Risasi yangu ya mwisho ukaone kinachoendelea.Au mpaka umchape na laki Moja kwanza😂
Yanalipa usione watu wana ng’ang’ania 😜Watu mna siri, kumbe mapenzi yana hela na hamsemi.....😁
Kumorneena zako🤧😬🤥😡
Mh' 😳
Nitakuomba msamaha baadae 🚶Kumorneena zako🤧😬🤥😡