Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..

Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo

Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo

Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏

Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Mpende Milele.
 
acha uvivu tafuta Bikira weka ndani,, mikosi kama hiyo utaisikia kwa jirani

Wanawake wote wanataman kuolewa na yule mwanaume aliyemtoa bikira, ni hivyo hivyo sisi wanaume tunapenda ufungue makaratasi,,

Bikira ina raha yake ,

ukileta ujuaji ndio nyie mnaambulia za uso 😎
 
Back
Top Bottom