Hapa unajionesha kuwa wewe ni binti ila huko nyuma ulishajionesha wewe ni mwanaume
Nimeanza kujuana na
huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani.. Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu. Juzi wakati tunapiga story huyu mwanamke akaanza kuniuliza mimi mtu wa wapi i mean...
www.jamiiforums.com
Kabla ya hii napo ulilalama:
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake
Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...
www.jamiiforums.com