Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
- Thread starter
- #121
OoooooooohSure.
Mapenzi yanawaumiza Watu ambao ni Dhaifu.

Wenye D mbili wameshaelewaDid I say that dear.. Hakuna mahali nimesema ninatafuta wa kunipa au umesahau kilichoulizwa mpk nikajibu hivyo mkuu
Tuma wasifu wako watu wakukufaa ukianza na mimi dmHaya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo
Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏
Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Hao single hawapo.Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏
Tangazo limekaa kimkakati sana😎Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo
Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏
Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Sema ninamiliki chombo humu jf ningekusaidiaHaya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo
Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏
Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Naomba kukazia hapa. 😂😂😂😂Anza kwa kutafuta hizo hela ambazo hauna
Njoo pm tuyajenge Tuanze maisha mapya mm na wwHaya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo
Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏
Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Story yake ina funzasecretarybird kimbia haraka kabla mzabzab na Mbaga Jr hawajafika kuna mchongo hapa. Labda mtapunguza shobo kwa my wangu Nusratt
ina tufunza tudogo lakiniStory yake ina funza
Badilisha jina sasa, hiyo nampenda milele itakufanya ukose mwingine. Jiite hata @natafutamwingineNdio mkuu na mimi nishakuwa tapeli tangu nijiunge humu
🤣🤣🤣🤣🤣Alikuwa anadate na ATM, yaani automatically anategemea mwanaume ili aishi. Hapo hata wewe tajiri sikushauri
Tulizana tu, ipo siku na wewe utapata mnyonge wako umchezee umuache kwenye mataa, maisha ni mzunguko, usihofu.Haya sijui kama nimeachwa ama nimenyamaziwa tu..
Wakuu nimejijua kama mimi ni mchepuko na sio njia kuu.. baada ya kuligundua hilo live ndio imetokea hivyo
Nilijua kwamba anaweza kuwa na mwanamke ila sikujua kama ndio wana mahusiano serious hivyo
Sasa wakuu nitapata wapi kijana singo kama kila mtu ana bebi wake 😏😏
Anyway hapa sina hata hela na huyo nyang’au kanichunia na mimi maisha ya kujipendekeza siyawezi especially nikishajigundua kuwa ni mchepukoziii
Nasemaje, na bado 😂Duuh hatukusema kutesana mkuu