Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Kama Yanga utapata tu utamu ila kama ndio Simba mwenzako, sahau kupata uteleziInategemea na mwanamke mwenyewe aliepo
Kama Yanga utapata tu utamu ila kama ndio Simba mwenzako, sahau kupata uteleziInategemea na mwanamke mwenyewe aliepo
Wewe simba au YangaKama Yanga utapata tu utamu ila kama ndio Simba mwenzako, sahau kupata utelezi
🤣🤣🤣Daah😂😂😂
Ila tajiri hupotezi time mtoto kataka apewe muda wa kufikiria we umempa dk nakubali🙌 😂😂😂
Huko mtaani nadhani ndio haya unashuhudia hapa. Pole sana na ndio ukakiri hadi kwa kumfanya username ya Jf?😂Humu sitaki bebi ni matapeli
Mimi Jangwani dam dam.Wewe simba au Yanga
Ubaya wa mapenzi situation zinaweza fanana ila uhalisia wa maumivu ukawa tofauti, na mnavyopenda hela kususiwa kidogo na bwana anaekupa hela ni kama kusimamishwa kazi sekta binafsi. Ukiachika kabisa ni kama umepoteza kazi😂Unaweza kujiona unateseka peke ako kumbe una wenzako nimefarijika sana 🤓
Basi ntapata mlendaMimi Jangwani dam dam.
Chama changu teule
😒😒 sitaki kusema mengi mkuu ila mahusiano yakienda mrama haswa kwa wanawake tunapata shida snaUbaya wa mapenzi situation zinaweza fanana ila uhalisia wa maumivu ukawa tofauti, na mnavyopenda hela kususiwa kidogo na bwana anaekupa hela ni kama kusimamishwa kazi sekta binafsi. Ukiachika kabisa ni kama umepoteza kazi😂
Mh kimenuka🙄Naona Binti Sayunii unafatilia Uzi na kuona comment yangu niliyomuunganishia Tajiri Sina BAYA na ndugu mlalamikaji
Sikujua mapema madam kama ushachukua Jimbo la tajiri😂😂😂
Na bado hayafutwi mpaka mseme mliongea nini na nyoka/shetani kule bustanini😂😒😒 sitaki kusema mengi mkuu ila mahusiano yakienda mrama haswa kwa wanawake tunapata shida sna
.. hela
.. Upwiru
.. Upweke
Mimi naona mapenzi yafutwe tu
Oh'Nakujibu hapa hapa kwani nakuogopa.
Siuzi
Kwahiyo umetuletea uzi matapeli tukushauriHumu sitaki bebi ni matapeli