Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
🤣🤣🤣 🙌 🙌K
Kwahiyo umetuletea uzi matapeli tukushauri
🤣🤣🤣 🙌 🙌K
Kwahiyo umetuletea uzi matapeli tukushauri
Ww naona ni namna mbili kiongizi nambari Moja nipo huku🥹Mkuu tukio la 5 hili au Mimi Mungu ndio kanichagua kuwa mfano kwa wanaoteseka na mapenzi
🤣🤣🤣imagine hadi wewe tajiri unaitwa tapeli. Mwambieni aache ujinga🤣🤣🤣 🙌 🙌
🤣🤣🤣 nimeshangaa ila kwakuwa ameshasema akiachwa tu basi haingizi pesa, nikaona bora nikae kimya.🤣🤣🤣imagine hadi wewe tajiri unaitwa tapeli. Mwambieni aache ujinga
So hapa unatafuta wa kukupa? Hakuna kitu cha bure utapewa na utaliwa..Mambo ghafla haya hela nitapata ila ya siku mbili tatu mtihani 😫😫
Yaani hawa unaowaita matapeli ndo unawaomba pesa ya kula siku mbili tatu,upo serious kweli?Humu sitaki bebi ni matapeli
Alikuwa anadate na ATM, yaani automatically anategemea mwanaume ili aishi. Hapo hata wewe tajiri sikushauri🤣🤣🤣 nimeshangaa ila kwakuwa ameshasema akiachwa tu basi haingizi pesa, nikaona bora nikae kimya.
Naona Binti Sayunii unafatilia Uzi na kuona comment yangu niliyomuunganishia Tajiri Sina BAYA na ndugu mlalamikaji
Sikujua mapema madam kama ushachukua Jimbo la tajiri😂😂
We Binti Sayunii inabidi mfunge ndoa ya JF😂Wapi lini? Saa ngapi hebu acha kunisingia bwana
🤣Mkuu tukio la 5 hili au Mimi Mungu ndio kanichagua kuwa mfano kwa wanaoteseka na mapenzi
Duuh hatukusema kutesana mkuuNa bado hayafutwi mpaka mseme mliongea nini na nyoka/shetani kule bustanini😂
Sijawah kuomba mwanaume wa jf hela mkuuYaani hawa unaowaita matapeli ndo unawaomba pesa ya kula siku mbili tatu,upo serious kweli?
No 4 itoe sitafuti mwanaumeUna matatizo mengi kwa wakati mmoja.
1.Mchepuko
2.Umenyamaziwa/umeachwa
3.Huna hela na maisha ya kujipendekeza huwezi.
4.Unatafuta kijana mwingine.
You have no business dating if you are still fighting your demons and loosing…
Chagua cha muhimu ufocus nacho.
ThankPole Sana
Did I say that dear.. Hakuna mahali nimesema ninatafuta wa kunipa au umesahau kilichoulizwa mpk nikajibu hivyo mkuuSo hapa unatafuta wa kukupa? Hakuna kitu cha bure utapewa na utaliwa..
Ndio mkuu na mimi nishakuwa tapeli tangu nijiunge humuKwahiyo umetuletea uzi matapeli tukushauri