Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Umeongea ukwel mtupu !! Nipe namba yko nikutumie pesa ya soda ni heri ukwel unaouma kuliko uongo unaofurahisha
 
Ongea na shetani akuelekeze Cha kufanya.trust me utamsahau ndan ya muda mfupi
 
Umeongea ukwel mtupu !! Nipe namba yko nikutumie pesa ya soda ni heri ukwel unaouma kuliko uongo unaofurahisha
Hahaha kweli mkuu. Yani unajitesa kisa mtu asiekujali. Dah hayo mambo hayatakiwi kabisa.
 
Tatizo media, filamu na stor za mtaan zinawaaribu ivo waaminkila mwanamje ili uwe nae laxima akuxungushe lazima ubembeleze lazima akutese
Eg:benpol - moyo mashine kuna kipande anaimba " najua umenixungusha sn " anawaharibu vijana wetu
 
Acha wapambane na hali zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…