Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Ndio mara yako ya kwanza kupenda



Wenzio tulipenda mara moja tu
 
Mapenzi ni matamu sana. I can tell. Ila kuna time yanakupeleka mputaaa balaa[emoji23][emoji23]
Ila mapenzi si mabaya. Ni matamu sana. Sana sana sana. Ni sisi wanadamu. Binafsi sipendi kumtesa partner wangu. Heshima ndo kila kitu. Huyo mpenzi wako mpe space atakukumbuka tu. Uzuri haya mapenzi unamuacha wako ahangaike hukoo weee akichoka akishapigwa matukio ndo anarudi. Uzuri ama ubaya asijekukuta umeshamove on tu hapo no ataimba apeche alolo[emoji23][emoji23]
 
The naked truth [emoji1666][emoji1666][emoji1666] kunywa Pepsi big nakuja kulipa
 
Ushakuwa bwege
 
Time heals everything !!! Nlivoweza kumpotezea ndonkaja gunduaa na miguu yake imepindia ndani mchaga yuleee
 
Kweli ngoja nkaushe[emoji23][emoji23]
 
Huna cha obsessive love disorder wala nini....ukweli ni kuwa huna hela

Ukiwa huna hela unakuwa penda penda

Sawa Mr.Loveboy?
Nakubali na hii comment jamaa anaonekana hana hela huyu na demu akishajua huna hela anakuringia maana anajua huna ujanja wa kuwa na wanawake wengine sababu pesa huna...

Tafuta hela uone adabu inarudi
 
Una umri gan mzeebaba??...
Nakushauri usitumie muda mwingi kwenye ishu za mapenzi....kuwa busy na mambo yako,tafuta fedha. Itakusaidia sana
 


Mtu hakupendi ya nini ujilazimishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…