Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Usimpe moyo dem hampendi muhunMkuu inawezekana demu pia anakupenda ila anakufanyia maringo kwasababu ameshajua unampenda. Akili zao huwa zinashangaza sometimes. Nakushauri uache mawasiliano nae huyo demu, yaani kaa kimya kabisa, ukikaa kimya itamuuma kwasababu mademu wanapenda attention. Kama anakupenda atakutafuta tu hata kama ni baada ya miezi kadhaa.
Pia muombe Mungu akupe utulivu wa akili kipindi hiki ili usitetereke kwenye mambo yako mengine ya kimaisha. Hata hasipokutafuta tena, utavuka salama tu kipindi hiki unachopitia, ni swala la muda tu.
Tena atamuua kabisaBila kupata replace atakutesa.
Hakika kabisaaaah. [emoji23][emoji23]Au nasema uwongo ndugu yangu?[emoji16]
[emoji16][emoji16]Pole sana mkuu hii situation nnayo ata mimi, ndo maana hadi mda huu nko macho.
Usingizi hauji ni stress tupu.
Kwa anayependwa,hivi Kweli kila unayempenda lazima arudishe yale mapenzi kwako?
Hahaha unateketea we lorry la mafuta?Habarini Wakuu
Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.
Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.
Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.
Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku!
Mademu kumbe bado huwajui, we piga kimya siku nzima jikaze tu kiume, mwenyewe atakutafuta then ringa wew sasaMzee kila nkijaribu wapi, halafu ni kama ashajua kwamba nampenda ile kinoma yani ndo maana anafanya hivi,yani anajua kabisa anitafute asinitafute am very weak kwake lazima ntamsumbua wee ndo apokee niomgee naye,anajua kabisa siwezi lala bila kumwambia usiku mwema ila leo nakausha tuone,labda ntaanza kumsahau polepole
poleHabarini Wakuu
Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.
Hajibu text zangu mpka pale anapojiskia, nampigia hapokei yani yeye ananitafuta akipenda yeye.
Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu naishia kuomba msamaha mimi.
Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku!
Hujalala tu usiku mkubwa hivi?pole
NakaziaNakubali na hii comment jamaa anaonekana hana hela huyu na demu akishajua huna hela anakuringia maana anajua huna ujanja wa kuwa na wanawake wengine sababu pesa huna...
Tafuta hela uone adabu inarudi
Thank me later[emoji122][emoji122]Ila witty naona umekazia hasa asee[emoji23][emoji23]ngoja niachane na mapenzi ntafute hela
😂 Mkuu pole inaumiza kweli jaribu ku move on .... Ila ni matamu sema stress zake..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nkajua ni mimi tu hapa nshaomba msamaha kwa kosa ambalo hata sijui ni lipi sijasamehewa naambiwa ana mengi kichwani maisha haya jamani
Jamani nateketea, sijui niliingiaje huku