Mapigano kati ya Israel na Palestina yalianza tangu enzi za vita kati ya Mfalme Daud Muisrael na Goliati Mfilisti (Mpalestina)

Umeeandika wakati wa WWII Hitler aliangamiza Taifa la Israel ! nawakakimbia utumwani kwenye Mataifa mbalimbali! Hii Historia nani kukulisha matango pori na wewe unakula kutudanganya humu!
 
Nimekulisha matango ya mjini sio pori

Ni kweli Hitler aliwalenga zaidi Waisrael na aliwaua wakabakia takribani Waisrael milioni moja tu lengo lake ni kulifuta kabisa Taifa hilo kwenye uso wa dunia ili lengo lake la kuitawala dunia litimie

Hitler aliamini kuwa kutokana na uwezo mkubwa wa Wana wa Israel ndio wangekuwa kikwazo kwake kutimiza adhima yake hiyo that's why akaamua kuwalenga wao

Baada ya kuona hivyo Waisrael hao 1,000,000 waliobakia ndio wakaha kwenye makazi yao kukimbilia uhamshoni
 
Mi nitakua nawawakea hapo wasome
 

Attachments

  • 60243D67-AA1F-4A1E-8094-F2B94719F3E6.jpeg
    94.6 KB · Views: 7
Palestine ni kigiriki cha neno Phillistia/Phillistine.

Hiyo nchi mwanzoni ilikuwa inaitwa Caanan. Baadae ikaitwa Israel. Wacaanan wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.

Wafilisti (wa enzi za Biblia), ni uzao wa Mizraim (ancient Egypt), na ni uzao wa Ham mtoto wa Noah.

Wafilisti wa enzi za Biblia, walihamia hapo, na walichukua eneo dogo sana la nchi ya Canaan. Waliwasogeza kidogo wacaanan, na walikuwa na miji mitano maneo ya pwani ya kusini (mji mojawapo uliitwa Gaza).

Watoto wa Ham ni watu Weusi. Ancient Egypt (Mizraim), ancient Ethiopia (Cush), ancient Libya (Phut), ancient Caanan (Tyre, Sidon, Phoenicia), walikuwa jamii za waafrika weusi na sio waarabu.

Note that alielaaniwa ni Canaan, na sio Ham.

Wapalestina wa leo ni waarabu, na sio wafilisti wa enzi za Biblia.

Waarabu ni watoto wa Shem. Wazungu ni watoto wa Japheth.

Wayahudi na waisraeli wa enzi za Biblia ni watoto wa Eber, ambaye ni uzao wa Shem.

Waarabu wa north Africa, walihamia eneo la north Africa, mainly kwenye karne ya saba na onwards (wakitokea middle east).

Sehemu kubwa ya wayahudi na waisraeli wa leo ni wazungu walioichukua dini ya kiyahudi (sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia), na wengi wao waliichukua dini ya kiyahudi zaidi ya miaka 1,000 iliyopita (na wayahudi wa leo wenye middle eastern origins, wengi wao sio wayahudi/waisraeli wa enzi za Biblia).

Dini hiyo ya kiyahudi walioichukua sio ile ya Agano la Kale pure, ni imechanganywa na mafundisho potofu mengi sana, na inapotosha na kumpinga vibaya sana Masiha wa kweli ambae ni Bwana Yesu Kristo. Dini ile ya Agano la Kale pure, ingewaleta kwa Bwana Yesu Kristo, na kwenye Agano Jipya.

Caliph Abd al-Malik ibn Marwan hakutakiwa kujenga kitu kwenye Temple mount. Ila alijenga msikiti ambapo ndani yake kuna maandishi yameandikwa ambayo yanaipinga sana Biblia.

Kunatakiwa kusiwe na jengo kwenye Temple mount.

Wayahudi wa leo wanataka kuvunja hiyo misikiti (iliyoko kwenye Temple mount), ili wajenge hekalu la kiyahudi (hekalu la tatu). Hili hekalu la tatu, sio halali kibiblia (ingawa linaungwa mkono kisirisiri na watawala wengi wa nchi za magharibi, including Jesuits na Freemasons).

Na hiyo misikiti kibiblia haitakiwi kabisa kabisa kuwa hapo.

Kunatakiwa kusiwe na jengo kwenye Temple mount.

Ancient Caanan sio nchi ya waarabu, na ancient Israel sio nchi ya waarabu. Na wapalestina wa enzi za Biblia hawakuwa waarabu.

Nadhani wajaribu kutafuta njia ya kusuluhisha huu mgogoro kwa amani, huku wakitambua historia halisi yae eneo hilo.

Na huku Afrika na Tanzania tusiache kupendana kwasababu ya huu mgogoro, ni vizuri tujue historia yake halisi.


Kuhusu historia ya huu mgogoro, soma hiki kitabu, ingawa jamaa anakosea mahali pengine:
Dark Crusade, Christian Zionism and US Foreign Policy, by Clifford A Kiracofe, Jr (Author).


Kuna hiki kingine: The Thirteenth Tribe: The Khazar Empire and its Heritage, Arthur Koestler. Ingawa na huyu nae huenda kakosea mahali pengine.
 
Kweli Mungu ni wa wote lakini kwa kuwa wakazi wa Kaanani (Wafilisti) walikuwa wapagani hawamuamini Mungu ndio maana Mungu aliwawaadi Waisrael kuwapa ardhi hiyo ya Kaanani kwa masharti ya kwenda kuwapiga na kuwaua Wafilisti wote ili Wayahudi wawe ndio wenyeji wa mji huo

Kosa waliliofanya Waisrael ni kuwapenda wanawake wa Kaanani ambao walikuwa wazuri sana na kulala nao kuwaoa na kuzaa nao watoto ambao ndio hawa Wapalestina

Kwa kosa hilo la kutotii maagizo ya Mungu ndipo Mungu akasema watu hawa watasumbua sana ndicho kinachoendelea tangu enzi hizo mpaka sasa uhasama wao hauishi mpaka Yesu arudi
 
Hapa, tofautisha kati ya Wakaanani na Wafilisti. Philistines wlikuwa maeneo kati kati ya Gaza na Eshikaloni. Wakati Wakaanani ni maeneo ya mto Jordan
 
Hapa, tofautisha kati ya Wakaanani na Wafilisti. Philistines wlikuwa maeneo kati kati ya Gaza na Eshikaloni. Wakati Wakaanani ni maeneo ya mto Jordan
Wafilifisti ndio wenyeji wa caravan hilo halina ubishi niko tayari kuoga nje kama wafilisti sio wenyeji wa mji wa Kaanani sema jingine
 
Genesis 10:6 And the sons of Ham; Cush, and Mizraim, and Phut, and Canaan.

7 And the sons of Cush; Seba, and Havilah, and Sabtah, and Raamah, and Sabtechah: and the sons of Raamah; Sheba, and Dedan.

8 And Cush begat Nimrod: he began to be a mighty one in the earth.

9 He was a mighty hunter before the LORD: wherefore it is said, Even as Nimrod the mighty hunter before the LORD.

10 And the beginning of his kingdom was Babel, and Erech, and Accad, and Calneh, in the land of Shinar.

11 Out of that land went forth Asshur, and builded Nineveh, and the city Rehoboth, and Calah,

12 And Resen between Nineveh and Calah: the same is a great city.

13 And Mizraim begat Ludim, and Anamim, and Lehabim, and Naphtuhim,

14 And Pathrusim, and Casluhim, (out of whom came Philistim,) and Caphtorim.

15 And Canaan begat Sidon his first born, and Heth,

16 And the Jebusite, and the Amorite, and the Girgasite,

17 And the Hivite, and the Arkite, and the Sinite,

18 And the Arvadite, and the Zemarite, and the Hamathite: and afterward were the families of the Canaanites spread abroad.

19 And the border of the Canaanites was from Sidon, as thou comest to Gerar, unto Gaza; as thou goest, unto Sodom, and Gomorrah, and Admah, and Zeboim, even unto Lasha.

20 These are the sons of Ham, after their families, after their tongues, in their countries, and in their nations.
 
Waliokuwa wanaugomvi tangu kwenye tumbo la mama yao ni Esau na Yakobo baadaye huko mbele ya safari ndio kinakuja kuzaliwa kizazi cha nabii Rutu ndio kinatokea kizazi cha Waisrael na Palestina
Rudia kusoma hiyo stori yako ulikochukua. Mafaili yamepandiana. Lutu ni wa enzi za Ibrahimu. Siyo wa baada ya Esau na Yakobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…