Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

Nimeanza kupata walakini na Israel.
[emoji3][emoji1787][emoji3]

Kama hujastuka tu utakua na matatizo makubwa

Israhell wana mpaka mashoga wanaoana vitani wanaume kwa wanaume unategemea nini hapa

Israhell ilikua over-rated sana ila wakawaida sanaaaaaaaa
 
Kwa kulinganisha basi ujasiri wa Hamas bado hauna mfano wake.Kidogo inaweza kuwa ni jeshi la Vietnam.
Ukraine wanapata misaada ya mapesa na silaha bora kutoka Marekani.Ni nchi imepoteza maeneo muhimu ya kiuchumi lakini bado ina mipaka mingi ya kupokelea silaha
Ama kwa Hamas katika miezi hii mitatu hakuna msaada ulioingia kwao zaidi ya dua kutoka kwa waislamu.Halafu zaidi ya hayo hata wanachokula na kunywa hakieleweki.
Wapiganaji wa ukraine kule Azovstal hatimae walitoka chini ya kiwanda cha chuma walikokuwa wamejificha na kujisalimimisha kwa jeshi la Urusi,Hicho kitu hakijaonekana kwa Hamas.Huwa hawajulikana kama wako hai au wamekufa kwenye mahandaki yao lakini anayekuja juu anatoka na bunduki kuwatafuta majeshi ya Israel
Huo ni ushujaa haujapata kutokea na si kawaida,
Israhell mwisho wataiona ghaza kama ina majini ni suala la muda tuuuu
 
Vita ni mbinu na mikakati Leo hii kundi ambalo lilikuwa linaonekana si lolote si chochote, linamtoa jasho moja ya majeshi bora kabisa duniani.[emoji3]

Hili la Hamas linanikumbusha jinsi Wasomali walivyo wafurusha majeshi ya USA katika ardhi yao.
Kundi sio jeshi
 
Mi mpk sahv siamini Kama mateka wa Israel wapo hapo hapo Gaza,au wamevushwa[emoji848]
Heheeee wapo hapo hapo mzee tena wanakula milo mitatu na zaidi kwa siku na maji safi ya kunywa
Na kubwa kuliko hawasikii hata mlio wa mabomu yaani

Hamas wamejua kukichafua asee au ghaza itakua kubwa kama Tanzania ila tunadanganywa

Maana idf wanavyo teseka... [emoji848]
 
Intelligence ya mossad iko overrated sn Kwny movie na media kuliko uhalisia[emoji4]
 
Tukiacha na ushabiki hawa HAMAS wanatisha Sana sidhani kama kuna kundi lingine wanaweza KUPIGANA huku wameshikia mateka kwa zaidi ya miezi 3... kwasababu eneo ambalo wanapigana vita ni dogo sana kama wilaya ya kigamboni lkn Israel anahangaika nao mwanzo mwisho
MUONGO wewe ongopea wajukuu zako hapo leta kilometres za mraba za Gaza na kilometres za mraba za Kigamboni uone unavyoumbuka, unawavesha kamba
 
Nlichogundua nikwamba hamas walijipanga na vita ya muda mrefu kama walivyotangaza

Maana kwa kile walichokifanya jana nidhahiri walijua kabisa kama israhell lazima wataregesha baadhi ya wanajeshi wao waliowatoa

Kuna namna naona hamas wamegundua kwamba idf wanaudhaifu mkubwa hasa kupitia vita ya ardhini

Binafsi nategemea ghaza kuharibiwa zaidi na watu wasiokua na hatia kuzidi kupoteza maisha ila nategemea idf wanaoingia front watachinjwa zaidi

Mwisho kadri israhell inavyochukua muda mrefu bila kuimaliza hamas na kuimaliza vita yake kule ghaza inazidi kuuonesha watu hasa jirani zake kwamba israhell ni over-rated sanaaa
Israel si lolote wale wamewekwa pale kwa maslahi ya USA na Uk juu ya mafuta ya Middle East, na kuwa karibu na baadhi ya nchi zisizo kubali sera zao.

Wameona hawa German wange wamaliza tu sasa wao wakaona kwanini hawa wafu watarajiwa, tusiwape kazi ya kugombana na waarabu na wao wakiwa wanaiba rasilimali zao.
 
Kabisa israhell yupo pale kimkakati yaani namkakati wenyewe namba moja ni kuwashughulikia waarabu huku wanawaibia vyao

Hakuna mgogoro wowote unaotokea pale mashariki ya kati usiwe na mkono wa wazayuni wa israhell hakuna na hautakuja kutokea labda israhell isiwepo
 
Back
Top Bottom