Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

Kwa nini Ukristo unauonanisha na vita?
Wayahudi hawana time na hicho unachokiwaza, na sana sana ukijipeleka kule na ukristo wako unarudi kwenye jeneza

. Ingawa umenijibu tofauti nilicho andika.


LAKINI......!!!
. Kwani waislam wakifa kuna hasara gani??,, kwani Hawataki mabikira 72 Waliopo mbinguni?? 🤔🤔...
 
Hii kanuni inapaswa uhifahamu, siku zote ukimchokoza mtu uwe tayari kupokea response yeyote. Siungi mkono mauaji yanayofanywa na Israel kwa raia kule gaza ila walau Israel walitoa taarifa kuwa watavamia na hivyo raia waondoke na wakapewa muda wakuondoka.

Nikiangalia video za uvamizi wa kushtukiza uliofanywa na Hamas kule kibutz huwa najiuliza hawa Hamas kweli wana roho za binadamu kweli au ni mashetani, maana walikuwa wanaua watu kama wanaua swala au pundamilia kwenye mawindo.
 
Ni kweli kabisa.
Sasa najiuliza kwamba, na Ukristo wangu wote ninawezaje kujijasirisha kuwa Yesu alikuja duniani kuokoa maisha ya watu wakati kinachoendelea ni kinachoitwa Taifa teule linaua watu bila aibu wala haya?
Kuna sababu walifanya wapigwe mbona hujazungumiza shambulio la hamas israel kama ni ugaidi ambao unatakiw kupingwa
 
. Ingawa umenijibu tofauti nilicho andika.


LAKINI......!!!
. Kwani waislam wakifa kuna hasara gani??,, kwani Hawataki mabikira 72 Waliopo minguni?? 🤔🤔...
Vipi kuhusu DRC na kwingineko Afrika?
 
Ukiwa kipofu ukasoma kwa upofu hautaweza kujiona kama responsible humanbeing.

Kwahiyo kama hawajalaaniwa hao magaidi kunatoa haki kwa raia zaidi ya. 30,000 kuuawa kinyama?

Waisrael waliopoteza maisha kwenye shambulio la kigaidi ni 1,200. Je unatamani wafe Wapalestina wangapi kufidia vifo vya waisraeli waliouawa na magaidi wa Hamas?
Wafe ata waparestina wote ili isijitokee tena kuua waiisrael ata mmoja
 
  • Thanks
Reactions: 511
Mbona Waarabu hawalaani Mauaji ya Watu weusi huko Darfur yanayofanywa na Janjaweed Arab Millitias?
Umekaririshwa kanisani. Sudan ni nchi ya Africa. Yenye waislam wengi. Sawa na Sudan kusini yenye wakiristo wengi vita havishi
 
Vipi kuhusu DRC na kwingineko Afrika?
• Africa ni ukosefu wa akili..

• Tukiacha haya mambo
1. Ufia Dini ( kuabudu makaratasi makaratasi yasiyo na mbele wala nyuma)
2. Vibaraka wa wazungu/waarabu( DRC)
3. Chuki binafsi baina yetu. ( TZ, rwanda na n.k)

Africa itakuwa mbali sana kiafya na kiakili...
 
Kila nafsi itaonja kufa. Ukoo wako wangapi washafukiwa kaburini?
Sasa kwann usiandike uzi kulaani hamasi kuua waisrael kama walijua ilo maana bila ivo haya yasingetokea . Unatakiwa kuzuia chanzo maana kinga ni bora. wakirudia watakula udongo sio nyas tena hio inaitwa wamemchokoza beya hahaha
 
Sasa kwann usiandike uzi kulaani hamasi kuua waisrael kama walijua ilo maana bila ivo haya yasingetokea . Unatakiwa kuzuia chanzo maana kinga ni bora. wakirudia watakula udongo sio nyas tena hio inaitwa wamemchokoza beya hahaha
Isreal imekalia ardhi za waislam wa Palestina
 
 
Hamas hawawezi kuacha Ugaidi kwasababu wanasema Allah kaambia wafanye Jihaad dhidi ya Makafiri.

Dawa ni Israeli iende after Ayatolah financier wa Hamas na Hezbola.
Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Back
Top Bottom