Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

Mpuuzi kweli wewe. Kweli wewe kafiri. Sasa wanakalia ardhi zao
Watatandikwa na israel mpaka kiama chao si umeona tyr 30,000 wapo kwa allah kula bikra. Mkijitoa akili mtaisha uko gaza. Kila kitu kina namna yake ya kudai ila mkijfany wendawazimu matokeo yake ndo ayo kuishia kula nyasi na vitoto uko gaza dunia ya leo c yakulialia mshazoea mkilalamika wawaskize hii dunia nyingne mkuu kama huamin jikumbushe gaza wamekufa wangap?
 
Sasa mbona mnakimbilia Nchi zao? Mumejazana huko hadi Allah anawashangaa.
Sasa mbona mnakimbilia Nchi zao? Mumejazana huko hadi Allah anawashangaa.
Sema: Tembeeni katika ardhi na tazameni jinsi alivyo anzisha uumbaji; kisha Mwenyezi Mungu ndiye anaye umba umbo la baadaye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya kila kitu.
 
Sema: Tembeeni katika ardhi na tazameni jinsi alivyo anzisha uumbaji; kisha Mwenyezi Mungu ndiye anaye umba umbo la baadaye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya kila kitu.
Kwahiyo Allah anajicontradict?
Enforced-disappearance.jpg

Mweupe sana Ayatolah wa JF
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Wafe ata waparestina wote ili isijitokee tena kuua waiisrael ata mmoja

May be tuwaache wenyewe, sisi tudeal na Afrika yetu
 
sasahivi israel inajilinda tunaona kelele kwa israel
Inajilinda? Are you insane? Yaani Israel inaikalia Palestina kimabavu kwa miaka 70 sasa alafu anayeonewa akijipambania kupata uhuru unasema mvamizi anajilinda? Kwahiyo Putin naye anajilinda Ukraine?

Huu ndio unafiki anaosema mtoa mada
 
Hapajawahi kuwepo na taifa la palestina sijui ardhi ya nchi gani iliporwa na israel?
Kihistoria Ukraine ni sehemu ya urusi..... vipi una maoni gani kwa Putin kuchukua eneo la urusi kihistoria? Au Idd Amin alikua sahihi kupora Kagera kisa ilikua kihistoria ina roots za Uganda?
 
Mateka wasipoachiwa watazidi kuua zaidi, kwavile Hamas wamekubali kuwa wanazo bado mateka na hawataki kuwaachia hivyo Hamas ndiyo wanaocho haki ya Israel kuendelea na vita ya operation ya kuwasaka mataka wake huku wakiendelea kuua.

Hivi kwanini Hamas hawapati lawama?
Acheni utoto, kule westbank kuna Mateka au Hamas? Mbona bado mnawaua kila siku..... acheni kujustify upuuzi. Yaani Tanzania kumfukuza mvamizi Idd Amin ilikua uchokozi? Au Ukraine kumfukuza mvamizi Urusi ni makosa?

Acheni unafiki
 
Wewe ndo mnafiki
West Bank kuna brigade ya Hamas na Juzi tu wametoa video wakipambana na wayahudi
 
Kihistoria Ukraine ni sehemu ya urusi..... vipi una maoni gani kwa Putin kuchukua eneo la urusi kihistoria? Au Idd Amin alikua sahihi kupora Kagera kisa ilikua kihistoria ina roots za Uganda?
Kwani taifa la palestina lilishawahi kuwepo je mfalme wake au rais wake aliitwa nani na hilo taifa lilianza mwaka gani na mwanzilishi aliitwa nani?
 
Wapalestina wakuongozwa na magaidi ya hamas yaache ugaidi wataishi kwa amani
Wakati unafurahia na kushangilia mauaji pale Gaza.
Una maoni gani na vita vinavyoendelea jirani na nchi yako?
 
Back
Top Bottom