Kwa nini Ukristo unauonanisha na vita?
Wayahudi hawana time na hicho unachokiwaza, na sana sana ukijipeleka kule na ukristo wako unarudi kwenye jeneza
Mbona Waarabu hawalaani Mauaji ya Watu weusi huko Darfur yanayofanywa na Janjaweed Arab Millitias?Wale wangalikuwa wakiristo dunia ingalipiga kelele
Kuna sababu walifanya wapigwe mbona hujazungumiza shambulio la hamas israel kama ni ugaidi ambao unatakiw kupingwaNi kweli kabisa.
Sasa najiuliza kwamba, na Ukristo wangu wote ninawezaje kujijasirisha kuwa Yesu alikuja duniani kuokoa maisha ya watu wakati kinachoendelea ni kinachoitwa Taifa teule linaua watu bila aibu wala haya?
Hii waione hamasi ili cku nyingne wasirudie uchokozi wa kiboya
Hahah Israel ni wamafia asee ila ndo dawa yao wakirudia tena kufanya ugaid ndan ya israel inatakiwa israel ihakikishe wanakula udongo badala ya nyasi
Wafe ata waparestina wote ili isijitokee tena kuua waiisrael ata mmojaUkiwa kipofu ukasoma kwa upofu hautaweza kujiona kama responsible humanbeing.
Kwahiyo kama hawajalaaniwa hao magaidi kunatoa haki kwa raia zaidi ya. 30,000 kuuawa kinyama?
Waisrael waliopoteza maisha kwenye shambulio la kigaidi ni 1,200. Je unatamani wafe Wapalestina wangapi kufidia vifo vya waisraeli waliouawa na magaidi wa Hamas?
Umekaririshwa kanisani. Sudan ni nchi ya Africa. Yenye waislam wengi. Sawa na Sudan kusini yenye wakiristo wengi vita havishiMbona Waarabu hawalaani Mauaji ya Watu weusi huko Darfur yanayofanywa na Janjaweed Arab Millitias?
Kila nafsi itaonja kufa. Ukoo wako wangapi washafukiwa kaburini?Wafe ata waparestina wote ili isijitokee tena kuua waiisrael ata mmoja
Ndio umejibu nini? Bollocks!Umekaririshwa kanisani. Sudan ni nchi ya Africa. Yenye waislam wengi. Sawa na Sudan kusini yenye wakiristo wengi vita havishi
• Africa ni ukosefu wa akili..Vipi kuhusu DRC na kwingineko Afrika?
Hujui. Kichwa kimejaa makamasiNdio umejibu nini? Bollocks
Sasa kwann usiandike uzi kulaani hamasi kuua waisrael kama walijua ilo maana bila ivo haya yasingetokea . Unatakiwa kuzuia chanzo maana kinga ni bora. wakirudia watakula udongo sio nyas tena hio inaitwa wamemchokoza beya hahahaKila nafsi itaonja kufa. Ukoo wako wangapi washafukiwa kaburini?
Isreal imekalia ardhi za waislam wa PalestinaSasa kwann usiandike uzi kulaani hamasi kuua waisrael kama walijua ilo maana bila ivo haya yasingetokea . Unatakiwa kuzuia chanzo maana kinga ni bora. wakirudia watakula udongo sio nyas tena hio inaitwa wamemchokoza beya hahaha
Mbowe aliitwa gaidi na mahakamani ulikua hutokiWapalestina wakuongozwa na magaidi ya hamas yaache ugaidi wataishi kwa amani
Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumuHamas hawawezi kuacha Ugaidi kwasababu wanasema Allah kaambia wafanye Jihaad dhidi ya Makafiri.
Dawa ni Israeli iende after Ayatolah financier wa Hamas na Hezbola.