Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Watatandikwa na israel mpaka kiama chao si umeona tyr 30,000 wapo kwa allah kula bikra. Mkijitoa akili mtaisha uko gaza. Kila kitu kina namna yake ya kudai ila mkijfany wendawazimu matokeo yake ndo ayo kuishia kula nyasi na vitoto uko gaza dunia ya leo c yakulialia mshazoea mkilalamika wawaskize hii dunia nyingne mkuu kama huamin jikumbushe gaza wamekufa wangap?Mpuuzi kweli wewe. Kweli wewe kafiri. Sasa wanakalia ardhi zao
Sasa mbona mnakimbilia Nchi zao? Mumejazana huko hadi Allah anawashangaa.Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
Mi mwenyew nais ivo sabu ata watoto wa osama hawafatilii upumbav wa palestinians ila yeye kakomaza kichwMalaria 2 hivi wewe ni Mtoto wa Ayatolah au ni Ayatolah JF Branch?!
Sasa mbona mnakimbilia Nchi zao? Mumejazana huko hadi Allah anawashangaa.
Sema: Tembeeni katika ardhi na tazameni jinsi alivyo anzisha uumbaji; kisha Mwenyezi Mungu ndiye anaye umba umbo la baadaye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya kila kitu.Sasa mbona mnakimbilia Nchi zao? Mumejazana huko hadi Allah anawashangaa.
Kwahiyo Allah anajicontradict?Sema: Tembeeni katika ardhi na tazameni jinsi alivyo anzisha uumbaji; kisha Mwenyezi Mungu ndiye anaye umba umbo la baadaye. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza juu ya kila kitu.
Hapajawahi kuwepo na taifa la palestina sijui ardhi ya nchi gani iliporwa na israel?Isreal imekalia ardhi za waislam wa Palestina
Inajilinda? Are you insane? Yaani Israel inaikalia Palestina kimabavu kwa miaka 70 sasa alafu anayeonewa akijipambania kupata uhuru unasema mvamizi anajilinda? Kwahiyo Putin naye anajilinda Ukraine?sasahivi israel inajilinda tunaona kelele kwa israel
Kihistoria Ukraine ni sehemu ya urusi..... vipi una maoni gani kwa Putin kuchukua eneo la urusi kihistoria? Au Idd Amin alikua sahihi kupora Kagera kisa ilikua kihistoria ina roots za Uganda?Hapajawahi kuwepo na taifa la palestina sijui ardhi ya nchi gani iliporwa na israel?
Acheni utoto, kule westbank kuna Mateka au Hamas? Mbona bado mnawaua kila siku..... acheni kujustify upuuzi. Yaani Tanzania kumfukuza mvamizi Idd Amin ilikua uchokozi? Au Ukraine kumfukuza mvamizi Urusi ni makosa?Mateka wasipoachiwa watazidi kuua zaidi, kwavile Hamas wamekubali kuwa wanazo bado mateka na hawataki kuwaachia hivyo Hamas ndiyo wanaocho haki ya Israel kuendelea na vita ya operation ya kuwasaka mataka wake huku wakiendelea kuua.
Hivi kwanini Hamas hawapati lawama?
Hii ni ishara tosha kabisa, kuwa Africa akili zetu ni mithiri ya pazi wa msimu. 🤒🤒Mbona Waarabu hawalaani Mauaji ya Watu weusi huko Darfur yanayofanywa na Janjaweed Arab Millitias?
Wewe ndo mnafikiAcheni utoto, kule westbank kuna Mateka au Hamas? Mbona bado mnawaua kila siku..... acheni kujustify upuuzi. Yaani Tanzania kumfukuza mvamizi Idd Amin ilikua uchokozi? Au Ukraine kumfukuza mvamizi Urusi ni makosa?
Acheni unafiki
Kwani taifa la palestina lilishawahi kuwepo je mfalme wake au rais wake aliitwa nani na hilo taifa lilianza mwaka gani na mwanzilishi aliitwa nani?Kihistoria Ukraine ni sehemu ya urusi..... vipi una maoni gani kwa Putin kuchukua eneo la urusi kihistoria? Au Idd Amin alikua sahihi kupora Kagera kisa ilikua kihistoria ina roots za Uganda?
Wafe ata waparestina wote ili isijitokee tena kuua waiisrael ata mmoja
Kawapiganie.Wakati unafurahia na kushangilia mauaji pale Gaza.
Una maoni gani na vita vinavyoendelea jirani na nchi yako?
Hamuwezagi kujibu hoja bila matusi?Mpuuzi kweli wewe. Kweli wewe kafiri. Sasa wanakalia ardhi zao