Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Jamani ni dkk ya ngapi huko..
Yaan nitafurahi sana hawa mikia wakimwagiwa bao zitozito Leo..
Ila naamini Mtibwa hawajaniangusha, wamemwagia ndani mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…