Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michezaji senge. Ila binafsi lawama kuu ziende kwa uongozi. Mbwa kabisa uongozi!
Mkamfukuza uchebe. Mimi mpaka kesho nitaendelea kupinga kuondolewa uchebe.
Shida ya kumsikiliza Haji manara. Uchebe alimwambia Mo aache kuwasiliza watu wasiokuwa na shule. Kama Haji.
Kama ulilomwagiwa mgogoniJamani ni dkk ya ngapi huko..
Yaan nitafurahi sana hawa mikia wakimwagiwa bao zitozito Leo..
Ila naamini Mtibwa hawajaniangusha, wamemwagia ndani mazima