Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Tulifanya makosa sana kuwapa jezi zetu wazitumie kuchezea hii mechi

Ona sasa kila mtu anasema Simba imefungwa ilihali wote ukweli unajualikana kuwa leo Simba haijacheza
 
Amna namna tifu tifu wafanye simba iendelee kuepo [emoji81][emoji81][emoji81]


Wali sikika walevi wa mkiani
 
Kina Ami leo ni sherehe tu, kesho Zanzibar ni mapumziko. Mlandege hawaogopi sijui mnyama...
Wamekula urojo wao, wakawala kuanzia mkiani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mapinduzi hayakamiliki bila simba kufungwa. Mlandege leo kala simba.. Hongereni Mlandege kwa kukubali bahasha ili muwakamie makolo
Kwa kikosi gani nilichokiona?

Kile kile cha kina Kambale ambaye haeleweki hata fitness level yake iko vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…