Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Best friend wa Pele mpaka sasa haamini kama ameingia mkataba na hii timu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa pasi zake anarudisha nyuma hapeleki mashambulizi mbeleIkumbukwe Akpan ni mchezaji wa kimataifa
Mbaya zaidi kidude kimewanasa mbele ya kocha mpya ambaye ni family friend na Pele.Kidude cha matakoni 😀😀😀😀
Simba Tunasubir Kukamilisha Ratiba Turudi Dar Kula Maharage
Woyooooo Mlasimba wale, wamepeleka mkia Zanzibar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wakaliwa
Kwa kikosi gani nilichokiona?Mapinduzi hayakamiliki bila simba kufungwa. Mlandege leo kala simba.. Hongereni Mlandege kwa kukubali bahasha ili muwakamie makolo
Kumbe urojo una nguvu kiasi hiki..!!Woyooooo Mlasimba wale, wamepeleka mkia Zanzibar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wakaliwa
😅😅😅😅 Yamekuwa hayo mkuu?Aliyemleta Okwa alituhujumu
Kwahiyo kambole anacheźea Kumuyange fc?Kwa ikosi gani nilichokiona?
Kile kile cha kina Kambale ambaye haeleweki hata fitness level yake iko vipi?
Tena kama kumsukuma mlevi...Kumbe urojo una nguvu kiasi hiki..!!