Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mgunda analeta ushikaji kwenye kazi, sasa huyu Akpan wa nini anatoka Okwa anaingia yeye, anatoka mchezaji mwenye kuweza kushambulia, mwenye kunyumbulika anakuja Akpan.. 😂 😂
 
Kapama, Kyombo na Kibu wasipopewa byebye Simba nitashangaa. Simba haijawahipo kuwa na wachezaji wabovu kama hawa. Halafu sijajua Mgunda plan yake nini maana kama ni kupima viwango vya wachezaji wasiocheza Sana, nilitarajia kuwaona hawa akina Kibu wakiwa nje.
 
Hii Nlandege ni timu au kikundi cha wahuni?
Hawa ndio wanatupa maana halisi ya ule msemo kuwa kufungwa twafungwa ila chenga twawala
 
Ila Mkude hii ni mara ya 5 namuona anapiga pasi zisizo na macho
 
Back
Top Bottom