makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mgunda analeta ushikaji kwenye kazi, sasa huyu Akpan wa nini anatoka Okwa anaingia yeye, anatoka mchezaji mwenye kuweza kushambulia, mwenye kunyumbulika anakuja Akpan.. 😂 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na msipotula tuwafanye nini?Nataka shuhudia Mlandege akiwala nanyinyi. Sisi ni marafiki wa Mlandege na mizoga yote...
Okra ni mtu anafaa kuwa kikosi cha kwanza, ila Mgunda huwa anamuharibu kumpanga akacheze winga ya kushoto, hawezi kukupa kilicho bora zaidi, kama anavyotaka kumuharibu Sakho.Hivi kwanini wanawalipa hawa waliocheza leo?? Wanakaa wanafanya nini kambini? Bora Gadiel na Okra
Hivi hawa ni wachezaji wa timu gani kwani? Azam au Ihefu?Hivi kwanini wanawalipa hawa waliocheza leo?? Wanakaa wanafanya nini kambini? Bora Gadiel na Okra
Jamani punguza malalamiko hili ni kombe la wa zenji tu wala halina maanaHivi kwanini wanawalipa hawa waliocheza leo?? Wanakaa wanafanya nini kambini? Bora Gadiel na Okra
Mtakuwa ni mizoga, hawa wamezoea kula ndege safi. Nyie mizoga jalalaniNa msipotula tuwafanye nini?
KumbeeJamani punguza malalamiko hili ni kombe la wa zenji tu wala halina maana
We bibie mbona watutusi yakheeeeMtakuwa ni mizoga, hawa wamezoea kula ndege safi. Nyie mizoga jalalani
YesKumbee
Mtani mna hali tete, Mlandege atawala vichwa.We bibie mbona watutusi yakheeee
Hebu tulia uone Mlandege anavyoliwa na mnyamaMtakuwa ni mizoga, hawa wamezoea kula ndege safi. Nyie mizoga jalalani
Kati ya Mlandege na mkia nani anakula?Hebu tulia uone Mlandege anavyoliwa na mnyama
Tunawala hadi mifupa hatubakishi kituKati ya Mlandege na mkia nani anakula?