Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama Kuna kudharau mechi mkuu ni uwezo mdogo wa wachezaji wetu mizigo mingi sana humoSimba walidharau Mechi Acha Wafungwe hiii ijayo wa Draw warudi Dar Es Salaam
Kuna timu kwao Kuwa Serious imekuwa Shida
Mashabiki bwana, yaani bonanza mnachukulia serious kiasi hiki. Binafsi hata ingekuwa ndio Yanga kaweka kikosi dhaifu halafu hata goli nane nisingechukia wala kulalamika. Sioni mantiki ya hii michuanoSimba walidharau Mechi Acha Wafungwe hiii ijayo wa Draw warudi Dar Es Salaam
Kuna timu kwao Kuwa Serious imekuwa Shida
Ona Kibu anakenua tu mule
Nililwambia ukakaza shingo. Nijibu kati ya Mlandege na mkia nani anakula?Shangilia kwa raha zako
Sidhani kama Kuna kudharau mechi mkuu ni uwezo mdogo wa wachezaji wetu mizigo mingi sana humo
Mashabiki bwana, yaani bonanza mnachukulia serious kiasi hiki. Binafsi hata ingekuwa ndio Yanga kaweka kikosi dhaifu halafu hata goli nane nisingechukia wala kulalamika. Sioni mantiki ya hii michuano
Ila sio kwa kikosi hiki chaaa...wacha wafungwe tuu..yani okra anacheza uwanja mzima mwenyewe anaanzia juu kule anashuka mpk huku golini anakibarua cha kumsadia Steven Mwanuke maana mipira mingi inapitia kwake...any way bora wamewachezesha na sisi tujionee..Mtani mna hali tete, Mlandege atawala vichwa.
Walikuwa na chance ya kuwafunga Simba hata 3. Ingewafanya Simba waache dharau.Ila haya madogo ya Mlandege nsyo ni mapimbi sana
Lakini huyu mwamba s ndyo anatakwimu bora Sana kumshinda bingwa wa kutetema mkuu?Ona Kibu anakenua tu mule
Usiniulize maswali ya kipuuziLakini huyu mwamba s ndyo anatakwimu bora Sana kumshinda bingwa wa kutetema mkuu?