Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mlandege wamekosaje kufunga bao la pili hapa??
 
Simba walidharau Mechi Acha Wafungwe hiii ijayo wa Draw warudi Dar Es Salaam

Kuna timu kwao Kuwa Serious imekuwa Shida
Mashabiki bwana, yaani bonanza mnachukulia serious kiasi hiki. Binafsi hata ingekuwa ndio Yanga kaweka kikosi dhaifu halafu hata goli nane nisingechukia wala kulalamika. Sioni mantiki ya hii michuano
 
Ila haya madogo ya Mlandege nsyo ni mapimbi sana
 
Mashabiki bwana, yaani bonanza mnachukulia serious kiasi hiki. Binafsi hata ingekuwa ndio Yanga kaweka kikosi dhaifu halafu hata goli nane nisingechukia wala kulalamika. Sioni mantiki ya hii michuano

Unajua Lengo La Club za Bara Kushiriki Hii Michuano?
 
Mtani mna hali tete, Mlandege atawala vichwa.
Ila sio kwa kikosi hiki chaaa...wacha wafungwe tuu..yani okra anacheza uwanja mzima mwenyewe anaanzia juu kule anashuka mpk huku golini anakibarua cha kumsadia Steven Mwanuke maana mipira mingi inapitia kwake...any way bora wamewachezesha na sisi tujionee..
 
Back
Top Bottom