Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

Mkisha maliza kuwajadili na kuwalaumu wakina Kibu, Kiyombo na wenzake,endeleni kudiscuss mkataba wa Fei pale mlipo ishia.
Feisali ni mjadala wa msimu, hili la kina kyombo ni la masaa tu

Sasa hivi utasikia wale wazee wa Yanga wametoa tamko

Yani wale wazee wa Yanga mi sina imani nao kama watasubiria process za kisheria

Wale kila nikiwaangalia naona uvumilivu huo hawana, wao wanaona suluhu ni mgomo na kuandamana kwa Mama
 
Wenye akili ni wawili tuu pale Utopwinyo
 
Feisali ni mjadala wa msimu, hili la kina kyombo ni la masaa tu

Sasa hivi utasikia wale wazee wa Yanga wametoa tamko

Yani wale wazee wa Yanga mi sina imani nao kama watasubiria process za kisheria

Wale kila nikiwaangalia naona uvumilivu huo hawana, wao wanaona suluhu ni mgomo na kuandamana kwa Mama
Mkataba Fei kidogo unawaliwaza endeleeni mlipo ishia,ila mnakazi na timu yenu, huyo kocha atakaye ichukua timu na muonea huruma mashabiki wa Simba na Yanga huwaga hawajui uvumilivu. Wanataka kocha mpya akija akiwashe mda huo huo.
 
Na bado siku utakuwa Mwananchi kamili, YANGA timu makini, timu isiyoliwa na wala urojo 😆😆😆😆
Aaaah umenikosea heshima sana yani niwe nije Yanga ili niwe miongoni mwa watu wasio na akili?

Labda mnihakikishie kuwa wenye akili tutakuwa watatu
 
Mkataba Fei kidogo unawaliwaza endeleeni mlipo ishia,ila mnakazi na timu yenu, huyo kocha atakaye ichukua timu na muonea huruma mashabiki wa Simba na Yanga huwaga hawajui uvumilivu. Wanataka kocha mpya akija akiwashe mda huo huo.
Ila niwe mkweli kwenye ishu ya sakata la Feisali wanaonifanya niinjoy ni wale wazee wa Yanga

Wazee wa Yanga kwangu ndio man of the match kwenye hii ishu
 
Mimi Leo pia Nilikiwa Mlandege.....Nimewalaumu sana ilipaswa watufunge Goli tatu...mlandege hamna timu pale
Anafikiri utani

Watu kuna muda tuli mmaimdi refa kuongezza dakika 5 wakati mpira haukusimama muda mrefu
 
Back
Top Bottom