Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #181
Feisali ni mjadala wa msimu, hili la kina kyombo ni la masaa tuMkisha maliza kuwajadili na kuwalaumu wakina Kibu, Kiyombo na wenzake,endeleni kudiscuss mkataba wa Fei pale mlipo ishia.
Sasa hivi utasikia wale wazee wa Yanga wametoa tamko
Yani wale wazee wa Yanga mi sina imani nao kama watasubiria process za kisheria
Wale kila nikiwaangalia naona uvumilivu huo hawana, wao wanaona suluhu ni mgomo na kuandamana kwa Mama